Tetesi: Je kuamini kuwa kila anchosema mpinzani ni makosa je ni sahihi?

Lasway.Jr

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
230
405
Saa nyingne ili ufanikiwe unahitaji kuwasikiliza maadui zako pia na uchambue kile wanachokisema, wana jamvi napenda kuwauliza je? Ni sahihi kuona kila anachosema mpinzani wako ni kosa?? Nipo na washikaji hapa tunajadili biashara flan iv ila tuanze na hili
 
Mkuu Lasway, tunaomba tupe mrejesho wa huo mjadala wenu.
P.
 
Back
Top Bottom