Lasway.Jr
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 230
- 405
Saa nyingne ili ufanikiwe unahitaji kuwasikiliza maadui zako pia na uchambue kile wanachokisema, wana jamvi napenda kuwauliza je? Ni sahihi kuona kila anachosema mpinzani wako ni kosa?? Nipo na washikaji hapa tunajadili biashara flan iv ila tuanze na hili