Je, Kozi ya Development Finance and Investment Planning inasoko maeneo gani?

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari za wakati huu wakuu,

Mm nimesomea fani ya development finance and investment planning katika level ya degree. Naombeni ushauri hii fani inakua na soko sana katika maeneo gani (organization) zipi ili niweze kutafuta experience huko.

Maana kwenye hii systeam ya taifa ya kuombea ajira naona nikiombea kama finance inagoma ..

ciproflaxin.
 
Back
Top Bottom