Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,725
Jibu ni ndiyo, kofia hizi zaweza valiwa kwa wakati mmoja ila sharti zivaliwe na watu tofauti tofauti.
Mtu mmoja hawezi kuvaa kofia zote hizi. Akizivaa itabidi azivae kwa kuzipandishia moja juu ya nyingine.
Madhara yake
Kofia zilizochini haziwezi kuonekana vizuri au mvaaji anaweza akageuka kituko.