Je kizazi cha Mwanamke chaweza kutolewa sehemu yake kisha kusafishwa na kurudishwa?

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
48,844
54,047
Salam kwa wote.Kuna jamaa yangu japo si dokta alikuwa anaongea kwauhakika kuwa mwanamke anaweza kusafishwa kizazi kwa kutolewa na kurudishwa tena. Dokta na wajuzi kuna kisa huyu jamaa yangu kanisimulia kuwa kuna mtu mmoja mwanaume alikuwa na sehemu za siri kubwa sana.Alifanya mapenzi na msichana mmoja wakati anatoa dushelele kwa msichana dushelele ikatoka na kizazi kikaanguka chini.Jamaa anadai kuwa kile kizazi cha msichana kisingeanguka chini wataalamu wangekirudisha sehemu yake.Napenda kujulishwa inawezekana kweli dushelele kubwa kutoa kizazi mpaka kudondoka chini kwenye sakafu.
 
Hivi kizazi ni nini (katika muktadha wa swali/swala lako)?
 
Jibu fupi tu kitu kama hicho hakiwezi tokea na wala hakijatokea, alikupiga fix tu, pole, labda aseme kilishuka ambapo kitaalam tunaita genital prolapse si kinaanguka ila misuli hulegea hivyo kushuka mpaka kwenye vagina, hivyo mwanamke atahisi kama uvimbe unachungulia kwenye vagina. Lakini hii hutokea kwa wazee waliozaa mara nyingi. Kwa msichana hii sijawahi ona labda abakwe na wanaume wengi kwa muda mrefu hata hivyo ni very rare kutokea coz area hii imeumbwa kwaajili ya kudumbukizwa haya matisue na pia area hii iko capable kuaccomodate dude of any size ili mradi iandaliwe kwa kazi hii.
Kisa ambacho hutokea mara nyingi ni kwa wale watumia tigo ambapo akipigwa mtungo na wanaume wengi sehemu ya ndani ya utumbo mpana hushuka mpaka nje na hii tunaita rectal prolapse coz eneo hili si mahususi kwa kazi hii hivyo ikizidiwa misuli inalegea na hivyo kushuka na kuning'inia kwa nje ya ******.
 
ht kwa mimi ambae si daktari, kwa kutumia tu upeo wangu wa kufikiri nimeona hapo ulidanganywa halafu na aliekudanganya hajui kbs kudanganya.
 
Shukrani kwa majibu mazuri maana nilimbishia akanambia mambo hayo yametokea Mbalizi Mbeya.
 
Mupirocin ameeleza vyema. Na hizo prolapse zinatibiwa kwa kufanyowa operesheni ndogo ya kurudisha tissues ndani. Ila kizazi ni kitu kigumu jamani. Fikiria kinabeba mtoto na kisianguke nae, itakuwa penis tu? Hata kama tunataka kusema evolution, lakini kuna super power aisee. Ni central dogma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom