Je kiwango hiki cha ccm kinaridhisha?


M

man dunga

Senior Member
Joined
Oct 13, 2013
Messages
195
Likes
107
Points
60
M

man dunga

Senior Member
Joined Oct 13, 2013
195 107 60
The National Road Network
The National Road Network consists of:

  • Trunk roads 12,786 km out of which 5,130 km are paved and 7,656 km are unpaved.
  • Regional Roads: 21,105 km out of which 840 km are paved and 20,265 km are unpaved.(Source TANROADS)

Kwa mantiki hii kwa kila mwaka serikali ya ccm imejenga barabara kwa kiwango cha lami km 98.65 i.e 5130km/52years ,na hii ni kwa barabara zinazounganisha mkoa na mkoa (trunk road).

kwa barabara za lami zinazounganisha wilaya na wilaya ndani ya mkoa (regional roads) serikali ya ccm kwa kila mwaka imejenga km 16.15 i.e 840km/52years

kwa kuhitimisha ni kwamba ili serikali ya ccm iweze kumalizia barabara zote kwa kiwango cha lami zinazounganisha mkoa na mkoa (trunk road) inabidi ikae tena madarkani kwa miaka 78 toka sasa i.e 7656km/98.65(km/yr).

note:paved road =barabara kiwango cha lami
unpaved road= barabara isicho kiwango cha lami
JE SPEED HII INATOSHA?
TUJADILI.
 

Forum statistics

Threads 1,251,629
Members 481,811
Posts 29,778,237