kevin cuzo
Senior Member
- Nov 9, 2017
- 105
- 106
Habari za usiku ndugu zangu wa jf nilikuwa nataka kujua ukweli kuhusu kwamba "mtoto wa kiume pindi kitovu chake kikikatika kikaangukia kwenye uume wake wanadai kwamba mtoto anakuwa hanisi (adindii) je kwenye masala ya kiutaalam ni kwelii au ni tamaduni zetu tu ?
Nawakilisha
Nawakilisha