Je, kitaalamu imekaaje?

Habari wana JF

Nina changamoto moja katika via vyangu vya uzazi, uume wangu ni mdogo sana unakua ka wa mtoto hasa kukiwa na baridi au nkitoka kuoga ila ukisimama unakuwa vizuri tu nilishaga wahi kuupima siku 1 nikapata inchi 6.2 urefu.

Changamoto inakuja pale napokua na bibie halafu aombe tuende bafuni wote kuoga naona so sana kutokana na hali ya uume wangu kuwa mdogo sana ukiwa umelala hasa kukiwa na baridi au kuguswa na kitu cha baridi hasa maji.

Kwa anayefahamu kitaalamu hii imekaaje wakurungwa
ASE unakibamia ..Mimi kinu akijasimama inch 5 na ushee...likitengemaa kmmmke Saba na ushee shipa shipaaa...
 
Ushukuru mungu ila sasa demu au mkeo anamegwa na msela mwenye dudu lenye inchi 6 maninaah ajabu hjui hlo hahahah chunguza utaelewa..wanawake n viumbe vya ajabu sana.
 
Habari wana JF

Nina changamoto moja katika via vyangu vya uzazi, uume wangu ni mdogo sana unakua ka wa mtoto hasa kukiwa na baridi au nkitoka kuoga ila ukisimama unakuwa vizuri tu nilishaga wahi kuupima siku 1 nikapata inchi 6.2 urefu.

Changamoto inakuja pale napokua na bibie halafu aombe tuende bafuni wote kuoga naona so sana kutokana na hali ya uume wangu kuwa mdogo sana ukiwa umelala hasa kukiwa na baridi au kuguswa na kitu cha baridi hasa maji.

Kwa anayefahamu kitaalamu hii imekaaje wakurungwa
Wewe ni zao la mfumo mbovu wa elimu kwenye nchi yetu. Yani uko empty kabisa.
 
Back
Top Bottom