Je kiswahili kingependeza zaidi?

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,950
711
Wadau, nimekutana na hii picha na huo ujumbe hapo chini. Mie nilikuwa nafikiria kuwa kama lugha ya wenzetu inakuona ni vyema ukatumia lugha ya kwetu ya kiswahili. Mkuu kaweka picha, email pamoja na namba ya simu na hii inapatikana kwenye blogu ya Vijimambo. Je kiswahili kisingefaa kuliko kujichora? soma ujumbe utaelewa ninachoeleza.

<DL class=profile-datablock style="MARGIN: 0px 0px 0.5em"><DT class=profile-data style="FONT-WEIGHT: bold; MARGIN: 0px; TEXT-ALIGN: center">
IMG_0799.JPG
</DT></DL>
mambo vipi dj luke, I been following your website and i have to admit u doing great job no joke big up bro!

would u please let know pps outhere to visit ma new <VAR></VAR>blog Thafunlink (ronnyvey.blogspot.com) for latest music, news, and sports...thanx!



<DL class=profile-datablock style="MARGIN: 0px 0px 0.5em"><DT class=profile-data style="FONT-WEIGHT: bold; MARGIN: 0px; TEXT-ALIGN: center">ronald maganga</DT><DD class=profile-data style="MARGIN: 0px">
rockville, md, United States​
</DD><DD class=profile-textblock style="MARGIN: 0.5em 0px">
email:juchegangs@yahoo.com juchegangs@gmail.com phone:+1202-650-9702​
</DD></DL>
View my complete profile
 
Hawa ni wale madogo wanaomaliza darasa la saba au form four wakakimbilia ughaibuni na kuanza kujichanganya kwa kuiga kiingereza cha Wamarekani hasa weusi. Unakuta mtu hata sentensi ya kiingereza ngumu kuiumba......Fuatilia nyendo zake na profile yake utakuja gundua hilo kuwa ni form four au six na tena shule bomu za Bongo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom