Je kiswahili kinazungumzwa London? na Mzee J. Kikwete Rais wetu wa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kiswahili kinazungumzwa London? na Mzee J. Kikwete Rais wetu wa Tanzania

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Aug 30, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Bonyeza hapa BBC Swahili - Medianuai - Je kiswahili kinazungumzwa London?

  Mheshimiwa Rais wetu wa Tanzania Mzee J. Kikwete bonyeza hapa BBC Swahili - Medianuai - Mazungumzo na rais Jakaya Kikwete


  Watanzania wengi wanahisi kuwa mali asili nchini humo ikiwemo gesi inayotoka katika ziwa Malawi, bado haijaweza kuleta manufaa kwa maisha ya kila siku ya wananchi. Lakini serikali ya Tanzania inaenelea mpango wake wa itakavyohakikisha kuwa mali asili hiyo inaleta faida sio tu kwa wanachi bali kwa uchumi mzima wa nchi hiyo. http://www.bbc.co.uk/swahili/medianuai/2012/08/120829_kikwete_mahojiano.shtml
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280  Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumzia swala na Mgomo wa Madaktari na Mkasa uliomkumba Dk. Ulimboka siku chache kabla ya Hotuba yake. Serikali imekuwa ikihusishwa na Utekwaji huo. Je kwa maneno haya ya Rais na yale ya Waziri Mkuu ya LITAKALOKUWA NA LIWE Je kweli kuwa Serikali haihusiki??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280  Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa katika nyumba aliyozaliwa na kuishi JK kijijini Msoga mkoa wa Pwani October 31, 2010
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...