Je, kishika uchumba na Mahari yangu ni busara kama itarudishwa?

Mkuu hapa umetudanganya kua ulijikuta unapanda gari moja na x wako , mkiwa mnaenda moro kila mtu na shughuli yake na siku ya kurudi mmerudi pamoja , hapo mkuu imekua ngumu kumeza , sema mlikubaliana mkapashe kiporo tuu
 
Pia noana mwaka huu uneanza na story nyingi humu jf. Kuna mwingine huko ameleta story za waganga wa kienyeji na wachawi , mwaka huu tutaona story za aina zote .

Mitano tena
 
Bora mngekuwa mnaandika kidogo kidogo mnatunza kwa computer unamaliza ndipo unaanzisha uzi na kitu kizima. Lakini mambo ya itaendelea sisi wasomaji inatuondolea uhalisia,mvuto na follow-up inakosa tofauti ya hadithi ya shigongo na story halisi
 
Back
Top Bottom