Je, kishika uchumba na Mahari yangu ni busara kama itarudishwa?

INAENDELEAA...
Baada ya kuagana wote tuliondoka kwa usafiri tofauti,nilifika nyumbani na siku hiyo ilikuwa Ni ijumaa,nilikaa Hadi ilipofika jumatatu asubuh,nikiwa katika majukumu yangu ya kizazi,Mara ghafla nilipokea sms ikisema mm X wa sasa si yule wa kipindi kile,,nikili nilikukosea Sana mwaka ule lakini wewe ndio ulikuwa mwanaume wangu wa maisha.
Naomba nisamehe,nilikosa na nikili ule ulikuwa utoto na foolish age.
Please naomba nipe nafasi ya mwisho ,Mimi nimeshapitia misuko suko ya kimahusiano hivo kwa Sasa nimekuwa mtu mzima.
Nilitafakari saana hii sms taratibu na kujihami pia sikujua nilikuwa naendeshwa na hisia gani nikaanza kumuwaza huyu msichana katika fikra zangu.Baada ya mwezi mbele nilikuwa katika mzozo na mchumba wangu halisi(tofauti na huyu X)kwa mda wa mwezi mzima,
Siku moja nilipata safari ya kuelekea mkoa wa Morogoro katika namna ambayo sikuitegemea nilijikuta nimepanda gari moja na huyu X wote tukienda kwa shughuli tofauti kila mmoja,tulipofika huko Mkoani kwa kuwa sikuwa na mwenyeji Mimi Wala yeye tulijikuta tumechukua room katika lodge moja huko,ghafla uhusuano wetu mimi na huyu msichana ukarudi kwa kasi Sana kupita kawaida,,msichana akaniganda Sana akajitahidi kuonyesha nidhamu na Kama kweli amebadilika ilifikia kipindi nilimsahau kabisa mchumba wangu ambaye nilimpromise kumuoa,
Nilienda mbali kiasi kwamba nilimuita huyu mchumba wangu na kumueleza kwamba nipo na X hivo achague moja tuachane/atafute mwanaume mwingine au akubali niwe nao wote,
Cha ajabu huyu mchumba wangu halisi alikuwa na true love na Mimi ,alilia Sana na mwisho wa siku alikubali kwamba hawezi kuniacha na alinisisitizia kwamba sipo kawaida yawezekana nikawa nimelishwa dawa.
Tukirudi Morogoro kule tulikaa kwa mda wa wiki nzima Tukiwa lodge pamoja ,tukila na kunywa,ila Kuna Jambo ambalo huyu X alikuwa ananiomba lilinifanya nintafakali na kumshangaa,jambo Hilo Ni kwamba aliniambia...."My unajua kwa Sasa tupo pamoja na Kama tupo pamoja changu chako na chako changu"Hivo kwa kuwa letu moja nilikuwa naomba Unipatie boxer yako unayoivaa na unayoipenda .Hivo suala hili lilinifanya nintafakari kwa kina Sana huyu msichana,....
Hakuishia hapo kila siku alinisisitizia kwamba anahitaji hiyo nguo yangu ya ndani ili atakapoivaa Kama nipo mbali nae basi ajihisi tupo pamoja..Basi baada ya kumaliza jukumu langu kule Morogoro ilifika siku ya kuondoka na kurud wote Mkoani kwetu.Basi siku ya safari tuliamka saa kumi na moja alfajiri alianza kuingia bafuni yeye na alienda kuoga alipotoka nilienda Mimi na niliporudi nilimkuta amechukua boxer yangu moja na ameshaivaa na akawa anajiandaa kuvaa skin tight kwa nje.
ITAENDELEA.......mnivumilie wakuu.
Jamani...skin tight juu ya boxer
 
Ila wanaume tunateseka jamani.

Tatizo lake lilianzia hapa.
Kutokana na muonekano wa huyu msichana , alikuwa ni mrembo saana aliyebarikiwa sura weupe(msambaa)na umbo zuri( vijana wa kileo husema mwenye chura haswa) alikuwa
 
Ukanyendua zigo
 
Back
Top Bottom