Je, kinga (Kondomu) ni salama kiasi gani dhidi ya magonjwa ya ngono?

acha kutumia condom za bei rahisi, unakuta mwanaume unatumia ndom ja hero kweli? si afadhari uende kavu tuu
Daaaah! Unakuta unaangalia unaona mchubuko kwa penis na wakati ulitumia condom na haikupasuka, sasa hapo shida nini sijui.!
 
, je vipi kama ikitokea umefanya na demu asiyeathirika, ila ukapata mchubuko, na ulitumia kinga kwa usahihi, je, utapata NGOMA?


Na je, kama ukifanya na muathirika kwa kutumia kinga, ila ukapata michubuko, bila kinga kupasuka, je, kuna uwezekano wa kupata NGOMA?

Hatukufanikiwa kufikia muafaka kwa kweli, ni mada pana, wajuzi njooni.! Najua wapo wengi humu wenye madhila kama hayo.!



Mchubuko unapataje na umevaa kinga? Au naniliu ni kisu?.
 
Back
Top Bottom