Je, Kinana bado ana uraia wa nchi mbili?

Baba yake msomali mama yake ni mbulu lakini baba yake ni msomali aliyezaliwa tanzania
It means yeye ni raia 100%, hata baba yake alikuwa raia kama maelezo yako ni facts achilia mbali ya kwamba angeweza kuwa raia hata kama baba yake angekuwa raia wa nchi nyingine na hata kama angekuwa amezaliwa na kukulia nje. Yaani uraia wa mama yake tu unatosha kabisa kumbeba, siasa ndiyo huwa zinaingizwa kama namna ya kunyamazisha watu.
 
Ndiye Makamu Mwenyekiti wetu wa chama cha Mapinduzi. Tunamhitaji hivyohivyo tena wakati wote kwa ajili ya chama chetu. Asiyemtaka akafie mbali CCM ndio kashafika sasa.
 
Vuvuzela alisema kinana ana passport ya Canada, lakini si ajabu wengi wa 'wakubwa' wanazo passport za nchi nyingine. Sie wanyonge ndio tunahubiriwa 'uzalendro'.
Kuwa na passport mbili haimfanyi mtu kutokuwa mzal3ndo...
 
Back
Top Bottom