DENLSON
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 949
- 1,259
Kipindi CHADEMA wanamvua uanachama Zitto Kabwe CCM waliishutumu na kukejeli sana kwamba CHADEMA haina demokrasia kwa sababu wanachama hawaruhusiwi kwenda mahakamani kupinga kufukuzwa Jana chama sasa nauliza Je CCM inaruhusu wanachama kwenda mahakamani kupinga kufukuzwa uanachama?
Cc Lizaboni
Cc Lizaboni