Je, kilichotokea Malawi kinajirudia Zambia ambapo Rais anatimuliwa?

Hamjambo wana jamvi? Hali ni tete kwa rais wa Zambia Edgar Lungu. Rungu la wapiga kura limemshukia huku mpinzani wake mkuu Hakainde Hichilema akizidi kuchanga mbuga kumnyang'anya ikulu. Sisi kama majirani na marafiki tunaangalia kwa jicho la karibu. Je kilichotokea Malawi ambapo upinzani uliingasha serikali iliyoko madarakani kinajirudia Zambia? Je watanzania tunajifunza nini? Inakuwaje viinchi vidogo vinatushinda? Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA TAFADHALI
Kaunda alipigwa kwenye sanduku la kura na Fredrick Chiluba.

Fredrick Chiluba akapigwa kwenye sanduku la kura na Levy Mwanawasa

Rupiah Banda akapigwa kwenye sanduku la kura na Michael Chilufya Sata.

Edgar Lungu anachapwa kwenye Sanduku la kura na Hakaindi Hichilema.

Lakini Zambia pia ndiyo nchi pekee ambayo marais wawili walifia madarakani na warithi wao walikuja kuondolewa madarakani kwa sanduku la kura.
 
Tunachojifunza ktk mchezo huu wa Siasa ni Rafiki na mshirika wako wa leo katika mapambano ya mabadiliko ndiye adui wako wa kesho. Ushirika wenye nguvu wa vyama vya upinzani, uliwezesha chama kikongwe cha UNIP kuondoka madarakani 1981 na kukipoteza kabisa ktk medani kwa kutaifishwa mali zake. Sio hivyo tu na Kaunda alifilisiwa na kuwekwa kizuizini kwa kisingizio cha ufisadi akiwa madarakani bila kujali mchango wake kwa Uhuru wa Zambia. Tangu hapo hakujawa na chama chenye kuaminiwa ktk siasa za Zambia, wala malalamko ya ufisadi hayajawahi kuisha. Hakuna tena UNIP lakini waliokuwa kioo cha kuona maovu ya UNIP wanaendelea kuparurana. Hii ndio SIASA.
Zambarau.jpg
 
Sio kwamba vi nchi vidogo vinatushinda. Ila ukweli ni kuwa katiba zao zinaunafuu kuliko hii ya kwetu. Ndo maana inakuwa rahisi kwa wapinzani kupindua meza wakikaza. Bongo lazima tupiganie katiba mpya na tume huru kama tunataka tutoe chance kwa wapinzani kuingia madarakani. Lasivyo kwa katiba hii, njia inayobaki ni ya mapinduzi ndo wengine wataweza kuingia madarakani.
Issue sio wapinzani kuingia madarakani, je wanauwezo wa kuongoza nchi Kama kujiongoza wao tu ni shida wamebaki kusalitiana,kutengana na kuunda magenge ya kula ruzuku zao
 
Hamjambo wana jamvi? Hali ni tete kwa rais wa Zambia Edgar Lungu. Rungu la wapiga kura limemshukia huku mpinzani wake mkuu Hakainde Hichilema akizidi kuchanga mbuga kumnyang'anya ikulu. Sisi kama majirani na marafiki tunaangalia kwa jicho la karibu. Je kilichotokea Malawi ambapo upinzani uliingasha serikali iliyoko madarakani kinajirudia Zambia? Je watanzania tunajifunza nini? Inakuwaje viinchi vidogo vinatushinda? Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA TAFADHALI
Kazi kweli kweli. Afrika inaamka. Yalitokea kwa Mugabe, Yahya Jammeh, Lauerent Kabila, Idris Edby na sasa Zambia.
 
Hamjambo wana jamvi? Hali ni tete kwa rais wa Zambia Edgar Lungu. Rungu la wapiga kura limemshukia huku mpinzani wake mkuu Hakainde Hichilema akizidi kuchanga mbuga kumnyang'anya ikulu. Sisi kama majirani na marafiki tunaangalia kwa jicho la karibu. Je kilichotokea Malawi ambapo upinzani uliingasha serikali iliyoko madarakani kinajirudia Zambia? Je watanzania tunajifunza nini? Inakuwaje viinchi vidogo vinatushinda? Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA TAFADHALI
Mwananchi wa Jamhuri ya JF wewe ungependezwa iweje? Dhana na upendavyo yaweza isitokee na isiwe sahihi.
Jee wenye kutaka mabadiliko wanataka yaweje na kuna wenye uwezo wa kubadilisha na kuongoza hayo mabadiliko unavyo penda yatokee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamjambo wana jamvi? Hali ni tete kwa rais wa Zambia Edgar Lungu. Rungu la wapiga kura limemshukia huku mpinzani wake mkuu Hakainde Hichilema akizidi kuchanga mbuga kumnyang'anya ikulu. Sisi kama majirani na marafiki tunaangalia kwa jicho la karibu. Je kilichotokea Malawi ambapo upinzani uliingasha serikali iliyoko madarakani kinajirudia Zambia? Je watanzania tunajifunza nini? Inakuwaje viinchi vidogo vinatushinda? Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA TAFADHALI
Jibu: Tanzania hatuna tume huru ya uchaguzi. Vinginevyo kingelikuwa kimewaka mda mrefu.
 
Kaunda alipigwa kwenye sanduku la kura na Fredrick Chiluba.

Fredrick Chiluba akapigwa kwenye sanduku la kura na Levy Mwanawasa

Rupiah Banda akapigwa kwenye sanduku la kura na Michael Chilufya Sata.

Edgar Lungu anachapwa kwenye Sanduku la kura na Hakaindi Hichilema.

Lakini Zambia pia ndiyo nchi pekee ambayo marais wawili walifia madarakani na warithi wao walikuja kuondolewa madarakani kwa sanduku la kura.
Zambia is a bit unique, political parties uses tribal hegemony and urban centers' communities for political mobilazation.

Whoever takes power shall face the very people who supported him.

Betrayal is a political currency in Zambia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamjambo wana jamvi? Hali ni tete kwa rais wa Zambia Edgar Lungu. Rungu la wapiga kura limemshukia huku mpinzani wake mkuu Hakainde Hichilema akizidi kuchanga mbuga kumnyang'anya ikulu. Sisi kama majirani na marafiki tunaangalia kwa jicho la karibu. Je kilichotokea Malawi ambapo upinzani uliingasha serikali iliyoko madarakani kinajirudia Zambia? Je watanzania tunajifunza nini? Inakuwaje viinchi vidogo vinatushinda? Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA TAFADHALI
hapa tunajifunza sisi ccm tuhakikishe mizizi inazama chini zaidi maana upepo wa kimbunga unapobadilika na kuwa wa kisulisuli unaweza ng'oa mbuyu legelege..
 
Swali la msingi ni je'baada ya vyama tawala kuondolewa hususan Zambia na Malawi nchi imeonyesha kupiga hatua baada hayo mabadiliko,au ni yaleyale?
 
Hamjambo wana jamvi? Hali ni tete kwa rais wa Zambia Edgar Lungu. Rungu la wapiga kura limemshukia huku mpinzani wake mkuu Hakainde Hichilema akizidi kuchanga mbuga kumnyang'anya ikulu. Sisi kama majirani na marafiki tunaangalia kwa jicho la karibu. Je kilichotokea Malawi ambapo upinzani uliingasha serikali iliyoko madarakani kinajirudia Zambia? Je watanzania tunajifunza nini? Inakuwaje viinchi vidogo vinatushinda? Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA TAFADHALI
Lakini natamani kupata mlejesho baada ya upinzani kuchuka dola huko malawi hali imekua je?
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom