Je, kila Waziri ana uwezo wa " kuiagiza" Takukuru au wengine wanapaswa kuiomba?!

Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,695
1,470
Najiuliza tu endapo kila Waziri atasimama bungeni na kusema " sasa naiagiza Takukuru imshughulikie/ chunguze fulani" ina maana hao Takukuru wanasubiri kuagizwa na si kuinitiate wao wenyewe chunguzi zao?... Na je ni halali kwa Waziri " yeyote" kuiagiza Takukuru au wanapaswa kupitia kwa Waziri wa utawala bora kama itifaki ilivyo? Nadhani " nitamwomba Waziri wa utawala bora aiagize Takukuru blah....blah.....blah..... " ingependeza zaidi!
 
Kuna vyanzo vingi vya taarifa za rushwa yakiwemo matamko ya mawaziri.
 
Najiuliza tu endapo kila Waziri atasimama bungeni na kusema " sasa naiagiza Takukuru imshughulikie/ chunguze fulani" ina maana hao Takukuru wanasubiri kuagizwa na si kuinitiate wao wenyewe chunguzi zao?... Na je ni halali kwa Waziri " yeyote" kuiagiza Takukuru au wanapaswa kupitia kwa Waziri wa utawala bora kama itifaki ilivyo? Nadhani " nitamwomba Waziri wa utawala bora aiagize Takukuru blah....blah.....blah..... " ingependeza zaidi!
Ukitaka majibu ya swali lako tafuta video clip jibu alilojibiwa Nassari na mkuu wa TAKUKURU halafu jiulize ni kwa nini mkuu huyohuyo wa TAKUKURU yupo kimya kumjibu Kingwangwalah kwamba TAKUKURU ni taasisi huru haiingiliwi?
 
Kingwangallah alikuwa hajielewi wakati anaropoka maneno yale. Chuki na bifu za ajabu huwa zinapumbaza ubongo. Anaulizwa sasa kama lengo ni kufanya hygiene na kusafisha wizara, why usichunguze wote kuanzia kina Maige mpaka huyu Maghembe wa juzi? Majibu hakuwa nayo.
 
Najiuliza tu endapo kila Waziri atasimama bungeni na kusema " sasa naiagiza Takukuru imshughulikie/ chunguze fulani" ina maana hao Takukuru wanasubiri kuagizwa na si kuinitiate wao wenyewe chunguzi zao?... Na je ni halali kwa Waziri " yeyote" kuiagiza Takukuru au wanapaswa kupitia kwa Waziri wa utawala bora kama itifaki ilivyo? Nadhani " nitamwomba Waziri wa utawala bora aiagize Takukuru blah....blah.....blah..... " ingependeza zaidi!
Takukuru ni idara hivyo waziri anaweza kuipa maagizo na ikatekelza
 
Najiuliza tu endapo kila Waziri atasimama bungeni na kusema " sasa naiagiza Takukuru imshughulikie/ chunguze fulani" ina maana hao Takukuru wanasubiri kuagizwa na si kuinitiate wao wenyewe chunguzi zao?... Na je ni halali kwa Waziri " yeyote" kuiagiza Takukuru au wanapaswa kupitia kwa Waziri wa utawala bora kama itifaki ilivyo? Nadhani " nitamwomba Waziri wa utawala bora aiagize Takukuru blah....blah.....blah..... " ingependeza zaidi!
inanikumbusha hata ile taarifa ya akina Mh. Nassari. Waliagiza Takukuru kuchukua hatua kabla wao hawajarelease episode yao ha ha ha!
 
Lugha ya waziri kutamka "naagiza"ni lugha ya kisiasa zaidi inayompamba mtoa kauli
 
Najiuliza tu endapo kila Waziri atasimama bungeni na kusema " sasa naiagiza Takukuru imshughulikie/ chunguze fulani" ina maana hao Takukuru wanasubiri kuagizwa na si kuinitiate wao wenyewe chunguzi zao?... Na je ni halali kwa Waziri " yeyote" kuiagiza Takukuru au wanapaswa kupitia kwa Waziri wa utawala bora kama itifaki ilivyo? Nadhani " nitamwomba Waziri wa utawala bora aiagize Takukuru blah....blah.....blah..... " ingependeza zaidi!
Kwanza taasisi zote zina kanuni na taratibu zake. Hazipaswi kufanya kazi kwa kupewa maagizo.
Taasisi za TZ ni very weak na hili linajulikana dunia nzima ndio sababu we are one of the least developed countries.
 
Najiuliza tu endapo kila Waziri atasimama bungeni na kusema " sasa naiagiza Takukuru imshughulikie/ chunguze fulani" ina maana hao Takukuru wanasubiri kuagizwa na si kuinitiate wao wenyewe chunguzi zao?... Na je ni halali kwa Waziri " yeyote" kuiagiza Takukuru au wanapaswa kupitia kwa Waziri wa utawala bora kama itifaki ilivyo? Nadhani " nitamwomba Waziri wa utawala bora aiagize Takukuru blah....blah.....blah..... " ingependeza zaidi!

Ndiyo!
 
Back
Top Bottom