Martin George
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,695
- 1,470
Najiuliza tu endapo kila Waziri atasimama bungeni na kusema " sasa naiagiza Takukuru imshughulikie/ chunguze fulani" ina maana hao Takukuru wanasubiri kuagizwa na si kuinitiate wao wenyewe chunguzi zao?... Na je ni halali kwa Waziri " yeyote" kuiagiza Takukuru au wanapaswa kupitia kwa Waziri wa utawala bora kama itifaki ilivyo? Nadhani " nitamwomba Waziri wa utawala bora aiagize Takukuru blah....blah.....blah..... " ingependeza zaidi!