Je, Kikwete Has Credibility Kutoa Hukumu ya Gbagbo? Swala si NEC kama Ivory Coast?

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Wengi tumesikia kama kawaida Africa Union imejaa wezi wa kura na viongozi wanaongoza wananchi wao kwa kutumia nguvu. Nchi karibu asilimia 90 hakuna Katiba zinazo tetea Freedom of Speech wala Freedom of expression lakini wanaendelea kufanya vikao kuwajadili wenzao. Kweli Kikwete ana haki yeyote yule kukaa kwenye kamati ya kumzungumsia Gbagbo? Alichokifanya Gbogbo ni sawa na Kikwete kabisa na kwanini AU wamevote kumpa Kikwete katika hii kamati? Tume ya Uchaguzi, NEC si ilifanya maasi haya haya? Inaonekana wengi wanataka waone vote yake na atakacho kifanya kwa sababu huku Tanzania tunafanya mipango ya kumfukuza kwa nguvu ili AU wakae tena kumjadili au watamtafutia mahali pa kuishi Addis Ababa. Haya ndio kati ya matatizo ya Africa Union, hakuna kiongozi anaye hudhuria akiwa hana issues nyumbani anakotoka na hasa kuhusu "Katiba" au "Election" au "Rushwa" Hii ndio sababu kubwa Waafrika wengi hatuna heshima na AU ni vikao vya Madikteta wa Africa....

"JK hata kama amewekwa na wenzio waiba kura AU. Watanzania tutampinga na kuindoa serikali yake haraka sana"
 
Back
Top Bottom