Je Kikwete atamtoa sadaka Pinda kama alivyofanya kwa Lowassa?

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Baada ya serikali kutoa tangazo la kukanusha kuwa rais hana msimamo wa kuwakingia kifua mawaziri wanaopaswa kujiuzulu, je Kikwete atarudia mazingaombwe yake kwa kumtoa sadaka waziri mkuu Mizengo Pinda kama alivyofanya kwa Edward Lowassa pale alipoguswa moja kwa moja na kashfa ya Richmond? Je pinda naye atakubali kuondoka kirahisi?
 
Amtose tu pinda ana njaa sna angekuwa na msimamo angejiuzulu kitambo. Amejua kuwa jk hamkubali na anamdhalilisha daily ila yy anan،gang،ania tu. Naona chai nayo anamuunguza sna!
 
Jamani huyu pinda ni nani? Hafai kabisa ni mwoga na king'ang'anizi wa madaraka ana kashfa kibao zimetokea akiwepo bila kufanya chochote escro, operation tokomeza ujangili, wanyama kusafirishwa nje wakiwa hai sasa utaniambia nini kuhusu pinda nikuelewe? Jiji linaingia panya road waziri mkuu ambaye ndiye mpokeaji wa taariza za usalama wa taifa hajui kinachondelea yeye na watendaji wa chini yake hasa kamanda kova! Heri jiwe lipigiwe kura au lowassa kuliko pinda
 
watanzania naomben tumuhurumie pinda,nadhan ukimwangalia unaweza ukagundua aina ya maisha aliyopitia.uso au mwili wake ulivyo si kama alipenda ila ni hali ya maisha aliyopitia.siung mkono hoja,maana kuondolewa kwa pinda kutasababisha maafa makubwa katika ukoo wao.
 
Ukoo wao…? Watu wanangalia manufaaa ya taifa,kijana.
 
Amtose tu pinda ana njaa sna angekuwa na msimamo angejiuzulu kitambo. Amejua kuwa jk hamkubali na anamdhalilisha daily ila yy anan،gang،ania tu. Naona chai nayo anamuunguza sna!
Amtose kwa kipi ambacho pinda kafanya wakati anatenda kazi yake vema tena kwa ufasaha kabisa zingine hizi ni porojo wala hazina mpango wowote wa maana.
 
Back
Top Bottom