Kaka mimi nilitaka kueleweshwa ndiyo maana nimeanza na NASIKIA. Swali la kwanini sijasoma halina mantiki.Kwani wewe unasoma kila kitu?wewe unaskia tu?kwanini hujasoma?ni kweli haijatawaliwa nasababu zipo zakutotawaliwa kwa Ethiopia.
Kaka mimi nilitaka kueleweshwa ndiyo maana nimeanza na NASIKIA. Swali la kwanini sijasoma halina mantiki.Kwani wewe unasoma kila kitu?wewe unaskia tu?kwanini hujasoma?ni kweli haijatawaliwa nasababu zipo zakutotawaliwa kwa Ethiopia.
Great thinkers wanakwenda beyond na somo. Lazima uwe mdadisi pia! Hapo unaweza pia kuzungumzia Utawala wa Zenawi huko Ethiopia ulikuwaje na syo tu safari ya JK!Mada hapa ni JK kwenda ethiopia, usichanganye mambo!
Yeye ni mwenyekiti wa kamati ya mazishi ya AU na hana naibu......sasa asiende vipi?
Duh mbona mmeyamaliza yote sasa mimi nitasema nini?Hapo kama namuona anavyoshangilia safari, jamaa anapenda safari kupita tulivyokuwa wadogo tulivyokuwa tunachanganyikiwa na gari likipaki mbele yako. Sitashangaa nikiona kwenye profille yake kipengele cha hobby akawa amejaza 1.kusafiri 2. Travelling 3. Tour 4. Kutalii 5. Kutembelea ndugu, jamaa na Marafiki
Kila mganga anatoa masharti yake.Kama vile.
1-Kuwa mtembezi.
2-Kuhudhuria misiba mingi iwezekanavyo.
3-Kutokusikiliza madai muhimu ya watu.
3-Kuto kuwaajibisha watu wenye makosa.
4-Nakadhalika.
Utajua 2015 jinsi watu serious wanavyopangilia muda na vipaumbele vya muhimu kwa wananchi.Baadhi ya Pro-Chadema JF wamejawa na utoto sana hivi Rais kwenda msibani nalo ni tatizo, kwa hiyo Dr Slaa, akiwa Rais hatakuwa aendi msibani.
Tatizo sio Kuwa chama fulani jamaa safari zimezidi kwani msibani si anaweza akamtuma mzee wa kuzindua nae apate safari za nje au hata Membe anaweza kwenda kumuwakilisha. Zenawi alikuwa ni PM kwahiyo nategemea mtoto wa Mkulima angeenda kuwakilisha.Baadhi ya Pro-Chadema JF wamejawa na utoto sana hivi Rais kwenda msibani nalo ni tatizo, kwa hiyo Dr Slaa, akiwa Rais hatakuwa aendi msibani.
haaaa!!!! we unauliza uzi gun kwa askari magereza,ndege iko silencer utaratibu wa suti na travota unachukua nafasi,asiende wakati ameandaa mpaka mashairi kuhusu bwn zenawi.
hii ni sera ya chama cha mapinduzi kuhani. Ila taabu ni kuwa jk inapiga mipira yote yeye tu hana reserve wala centre forward. Hana cha mshauri.mnakumbuka alivyomuaru rubani apige kona juu kwa juu alipotoka ziara ya brazil akaelekea moja kwa eneo la tukio pale alipofariki dr. Bingu wa mutharika kwa mikogo na staili kwa kuvaa suti na mwanamke mmoja hivi sijui ni mnikulu au kimada . Infact tz tumelosti ile mbaya. Ila sisikitiki maana sikumchagua wala kushabikia toka mwanzo maana nilijua hana uwezo wa kuwa rais walakini tele.inaonekana moja ya agenda kubwa wananchi wa tanzania waliomchagulia jk ni kuhudhuria misiba ya viongozi barani
africa. Badala ya kukaa nchini mwake kutatua matatizo makubwa yanayoikabili nchi yeye kutwa kuhudhuria misiba. Kwa wale watakaosema ni kwa ajili ya kuimarisha diplomacy basi inabidi tujiulize kwanini marais wa kenya na uganda hawafanyi hivyo ??
Kila mganga anatoa masharti yake.Kama vile.
1-Kuwa mtembezi.
2-Kuhudhuria misiba mingi iwezekanavyo.
3-Kutokusikiliza madai muhimu ya watu.
3-Kuto kuwaajibisha watu wenye makosa.
4-Nakadhalika.