Je, Kikwete atakwenda Ethiopia kumzika Zenawi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, Kikwete atakwenda Ethiopia kumzika Zenawi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by politiki, Aug 22, 2012.

 1. p

  politiki JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Inaonekana moja ya agenda kubwa wananchi wa Tanzania waliomchagulia jk ni kuhudhuria misiba ya viongozi barani
  africa. badala ya kukaa nchini mwake kutatua matatizo makubwa yanayoikabili nchi yeye kutwa kuhudhuria misiba. kwa wale watakaosema ni kwa ajili ya kuimarisha diplomacy basi inabidi tujiulize kwanini marais wa kenya na Uganda hawafanyi hivyo ??
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,130
  Likes Received: 6,615
  Trophy Points: 280
  keshatoa salamu za rambirambi mapema kabisa,
  lazima akalie, si unajua sisi tunavyojali misiba.
   
 3. m

  malaka JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Babu allowance babu hata sisi tunazipenda kwan mwisho wa siku zinasaidia.
   
 4. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,856
  Likes Received: 498
  Trophy Points: 180
  Aache labda sio yeye. Juzi Ghana kesho Ethiopia, Kwani umeambiwa ndege imeishiwa Mafuta?
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Meles Zenawi ni rafiki sn wa Tz pamoja na ukweli kuwa nchini kwake alikuwa na upinzani mkali.

  Taarifa kutoka Adis Ababa zinasema kuwa kwa kipindi hiki cha msiba hata wapinzani wake wameguswa sana na wanaomboleza.

  Ethiopia ni nchi inayothamini sn uasili na mila za Kiafrika, hivyo binafsi napenda tu JK aende akamzike MwanaAfrika huyu.

  Tuende mbele turudi nyuma.
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  nimeikuta facebook jana
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 7. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Unauliza makofi polisi, we subiri nadhani ameshafika Addis tayari kuratibu mazishi.
   
 8. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Cheza na jei kei wewe? Iyo ndo shuguli tulompa wkt tukimchagua
   
 9. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,651
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Ha haaaa Vasco d aache kwenda hautakuwa msiba huo.
   
 10. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Anaye update safar za jkei hapa jf aongeze kwenye list moja kwa hata leo kwamba tayari safari nyingne jk ameshasafri
   
 11. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #11
  Aug 22, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Nasikia Ethiopia haikuwahi kutawaliwa na ni nchi ya Marasta?
   
 12. Tungaraza Jr

  Tungaraza Jr Senior Member

  #12
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mh. JK atakuwepo msibani Ethiopia, hii ni kutokana na ukweli kua sote tutaonja umauti, pia kwa kutokana na kutokuona umuhimu wa sensa na mawakala kugomea sensa kabla ya uamsho,ni vyema na haki kwenda kwa kua yuko katika kamati ya mazishi.
   
 13. unknown animal

  unknown animal JF-Expert Member

  #13
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  haaaa!!!! we unauliza uzi gun kwa askari magereza,ndege iko silencer utaratibu wa suti na travota unachukua nafasi,asiende wakati ameandaa mpaka mashairi kuhusu bwn zenawi.
   
 14. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #14
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wewe unaskia tu?kwanini hujasoma?ni kweli haijatawaliwa nasababu zipo zakutotawaliwa kwa Ethiopia.
   
 15. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #15
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  unauliza makofi polisi? subiri utaona mwenyewe...atakuwa na bonge la delegation mpaka wenyewe tutachoka..akimaliza msiba ataenda kujifunza kilimo cha mchicha...
   
 16. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #16
  Aug 22, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Why not!
   
 17. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #17
  Aug 22, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hapo kama namuona anavyoshangilia safari, jamaa anapenda safari kupita tulivyokuwa wadogo tulivyokuwa tunachanganyikiwa na gari likipaki mbele yako. Sitashangaa nikiona kwenye profille yake kipengele cha hobby akawa amejaza 1.kusafiri 2. Travelling 3. Tour 4. Kutalii 5. Kutembelea ndugu, jamaa na Marafiki
   
 18. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #18
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mada hapa ni JK kwenda ethiopia, usichanganye mambo!
   
 19. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #19
  Aug 22, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hapa ndo ninapoipendea JF, kuambiana makavu ndo sheria
   
 20. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #20
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,861
  Trophy Points: 280
  Yeye ni mwenyekiti wa kamati ya mazishi ya AU na hana naibu......sasa asiende vipi?
   
Loading...