Je? Kikwete anaweza kuwaagiza watanzania wasiwapigie kura wanaotoa rushwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je? Kikwete anaweza kuwaagiza watanzania wasiwapigie kura wanaotoa rushwa?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Hekima Ufunuo, Oct 4, 2010.

 1. H

  Hekima Ufunuo JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 220
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Heshima Mbele wakuu.

  Natafakari hili, JK alisaini sheria ya rushwa ya uchaguzi hadharani na kwa mbwembwe sana akitangazia ulimwengu kuwa ana dhamira ya dhati ya kupambana na rushwa katika taifa hili na hasa kwenye uchaguzi huu.

  Je? anaweza kusimama kwenye kampeni zake kama mgombea au kama Raisi wa nchi na kuwambia wananchi wasiwachague wote waliotoa rushwa????????
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,018
  Likes Received: 417,506
  Trophy Points: 280
  Hilo haliwezi kwa sababu ni kuwaambia wapigakura hata yeye jk wasimchague kwani unafikiri hao mafisadi wanafanya hizo dhambi kwa maelekezo ya nani?
   
 3. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2010
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  kwani yeye mjinga? Anajua kuwa akitamka hatapata hata mbunge mmoja
   
Loading...