Je, kikao cha Rais na Wenyeviti wa Vyama vya siasa isipokuwa CHADEMA ni mpango wa kuzigawa kura za Urais za Tundu Lissu?

Hata kama watafanya nini kwa uchaguzi ulio huru na wazi Liss anashinda tena mapema sana.
Haitatokea uchaguzi huru Tanzania kwa kipindi cha magufuli iwe mvua liwe jua hakuna demokrasia itakayopatikana Tanzania awamu ya tano
 
Lakini itabidi kwanza TL akili kwamba alitupotosha katika vita ya mageuzi ya madini. Aliwasihi sana wabunge wasipitishe marekebisho ya sheria za madini kwamba tutashitakiwa MIGA na akasisitiza kwamba ACCACIA itatufilisi sisi watanzania. Sasa kwasababu hayo yote yalienda mrama- proved failure, akianza kwa kuomba msamaha hapo kura tutampa. Tutajua ni mwenzetu sisi waTz wa hali ya chini.
Kwenye madini hakuna la maana mikataba ya sasa haina tofauti na zamani
 
Uhakika wa kura za Lissu ni moja tu ambayo ni ya kwake. Lissu mwenyewe Hana uhakika kama mke wake atampigia yeye au CCM achilia mbali watu wake wa karibu, Kwa mantiki hii ushindi kwa Lissu ni mdogo sana.

Miaka ya nyuma hazina ya CHADEMA ilikuwa ni wale wenye umri kati ya miaka 18-25, kwa Sasa kundi hilo wamekuwa ni watu wazima ,wengine wameamua kubadilika, wengine wamejiunga CCM na wengine wanaona CHADEMA si sehemu salama kwa vijana kisiasa.

Mpaka hapo umeona ni kwa namna gani kura za CHADEMA zitakavyopungua kutoka kundi Hilo. Cha kukumbuka zaidi, Lowassa ndio mpinzani wa mwisho kupata zaidi 35% ya kura ,kwa miaka zaidi ya 100 Tanzania haitashuhudia tena wingi wa kura za upinzani wa zaidi ya 20%.
Unafikir ulipoambiwa kati ya 18 na 25 walimaanisha ukifikisha 26 huhusiki tena? No walimaanisha miaka hyo kuja huku n kizaz hakikuishi kwenye siasa za vyama vingi hvo hawajui cha Tanu Yajenga nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wa mkombozi ukifika hakuna kitakachomzuia. Mfalme Herod aliishia kuua watoto wakiume wasio na hatia wakati mkombozi akiwa salama Misri. Risasi 38 zilishindwa kumuua seuse kugawa kura.
Wabongo hawaishiwi maneno :)
 
Nimesoma mitazamo mbali mbali ya kikao hiki lakini bado sikupata mwanga wa moja kwa moja kuhusu dhumuni kuu la kikao hiki.

Lissu ndio mwanasiasa pekee ambae anauzika kwa sasa kuliko wakati wote ule! Kama mbobezi wa sheria,kama mwanasiasa mwenye utashi na uwezo mkubwa wa kujieleza,mwenye uthubutu wa kugusa hata wale wasioguswa kwa kusema ukweli wa wazi pasipo uoga!

Katika kipindi hiki kigumu cha nchi yetu inachopitia hasa kutofuata Sheria na kudhulumu haki ya kuishi na uoga wa wananchi kwa Chama dola CCM Lissu ndio suluhisho pekee la nchi yetu hakuna mwingine!mimi simuoni hata kwa tochi

Iwapo upinzani hasa CHADEMA wakisimama na Lissu kama mgombea hakika Rais Magufuli atapata wakati mgumu sana na yeye analijua hilo !Ndipo tunapotazama kikao cha juzi! Je, Lissu akiungwa mkono na vyama vyote pinzani, CCM watauweza mziki wake tena katika kipindi ambacho Tanzania inatazamwa kwa jicho la tatu na hao wanaowaita mabeberu kwenye la demokrasia

Je, CCM wataambulia hata kura milioni moja?

Kikao kile kwa maoni yangu kinamhusu Tundu Lissu na ugombea wake wa kiti cha Urais!! Rais Magufuli anataka kuzigawa kura za Lissu ili asijegaragazwa vibaya Oktoba mwaka huu!!!

Rais Magufuli yupo tayari Maalim Seif ashinde Zanzibar kuliko Lissu ashinde Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

Lissu anamnyima usingizi Rais Magufuli na ndio maana ya kile kikao juzi kuzigawa kura zake huku akilitafuta bao la mkono jingine hapo Oktoba mwaka huu!

Tuendeleze tafakuri ndugu zangu!!!
Ninachokubaliana nawe Mkuu THE BREED kwa asilimia 100 ni kuwa hiko kikao hakikuwa cha nia njema ya kujenga maridhiano kwa Taifa.

Sababu zangu ni hizi:-

1. Ni kwanini Rais alitaka mazungumzo hayo yawe ya siri, na yasiwe "public" kama kweli alikuwa na nia ya kufanya maridhiano ya kitaifa?

2. Kama kweli Rais alikuwa na nia njema, angekialika pia Chama cha Chadema, ambacho ndiyo chama kikuu cha upinzani nchini, ambacho pia ndicho kilichotoa ombi hilo kwa Rais, wakati wa sherehe za Uhuru mwaka jana kule Mwanza

3.Rais kumwalika kwa mara nyingine tena Profesa Lipumba, anayejulikana na watanzania wote, kuwa ndiye aliyekisambaratisha chama cha CUF, ndiyo imeyaharibu kabisa na kuyafanya mazungumzo hayo yawe kama kikao cha kijiweni

4. Kama kweli Rais ana nia njema ya kuutaka uchaguzi mkuu wa mwaka huu uwe huru na wa haki, ni kwanini anashikwa na "kigugumizi" katika uundwaji wa Tume huru ya uchaguzi, ambalo ndiyo takwa kuu la mamilioni ya watanzania?
 
Watu mbona mna haraka kiasi hicho? Vyama vya siasa viko zaidi ya 20, ndo kwanza Rais amefanya vikao na viongozi wa vyama vitatu,nyinyi mumeshaanza kulaumu,je mlitaka wote waitwe siku mmoja?
Kuitwa pamoja kungefaa sana, ili Kila mmoja ajuwe kinachozungumzwa na hitimisho lake.
Kuita mmoja mmoja Kuna agender ya Siri,maana tumefika mahali hakuna kuaminiana.

Tazama mbatia anachokifanya kinatafsiri gani kwenye juhudi za mageuzi Kama so usaliti???. Afu yupo Mimi natukanwa Sana.
Ni upumbavu mtupu umemjaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhakika wa kura za Lissu ni moja tu ambayo ni ya kwake. Lissu mwenyewe Hana uhakika kama mke wake atampigia yeye au CCM achilia mbali watu wake wa karibu, Kwa mantiki hii ushindi kwa Lissu ni mdogo sana.

Miaka ya nyuma hazina ya CHADEMA ilikuwa ni wale wenye umri kati ya miaka 18-25, kwa Sasa kundi hilo wamekuwa ni watu wazima ,wengine wameamua kubadilika, wengine wamejiunga CCM na wengine wanaona CHADEMA si sehemu salama kwa vijana kisiasa.

Mpaka hapo umeona ni kwa namna gani kura za CHADEMA zitakavyopungua kutoka kundi Hilo. Cha kukumbuka zaidi, Lowassa ndio mpinzani wa mwisho kupata zaidi 35% ya kura ,kwa miaka zaidi ya 100 Tanzania haitashuhudia tena wingi wa kura za upinzani wa zaidi ya 20%.
Mnafikiri kwa kutumia nini mkuu!

Ingekuwa ni hivyo ccm wengekubali tume huru ya uchaguzi.
 
Nimesoma mitazamo mbali mbali ya kikao hiki lakini bado sikupata mwanga wa moja kwa moja kuhusu dhumuni kuu la kikao hiki.

Lissu ndio mwanasiasa pekee ambae anauzika kwa sasa kuliko wakati wote ule! Kama mbobezi wa sheria,kama mwanasiasa mwenye utashi na uwezo mkubwa wa kujieleza,mwenye uthubutu wa kugusa hata wale wasioguswa kwa kusema ukweli wa wazi pasipo uoga!

Katika kipindi hiki kigumu cha nchi yetu inachopitia hasa kutofuata Sheria na kudhulumu haki ya kuishi na uoga wa wananchi kwa Chama dola CCM Lissu ndio suluhisho pekee la nchi yetu hakuna mwingine!mimi simuoni hata kwa tochi

Iwapo upinzani hasa CHADEMA wakisimama na Lissu kama mgombea hakika Rais Magufuli atapata wakati mgumu sana na yeye analijua hilo !Ndipo tunapotazama kikao cha juzi! Je, Lissu akiungwa mkono na vyama vyote pinzani, CCM watauweza mziki wake tena katika kipindi ambacho Tanzania inatazamwa kwa jicho la tatu na hao wanaowaita mabeberu kwenye la demokrasia.

Je, CCM wataambulia hata kura milioni moja?

Kikao kile kwa maoni yangu kinamhusu Tundu Lissu na ugombea wake wa kiti cha Urais!! Rais Magufuli anataka kuzigawa kura za Lissu ili asijegaragazwa vibaya Oktoba mwaka huu!!!

Rais Magufuli yupo tayari Maalim Seif ashinde Zanzibar kuliko Lissu ashinde Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

Lissu anamnyima usingizi Rais Magufuli na ndio maana ya kile kikao juzi kuzigawa kura zake huku akilitafuta bao la mkono jingine hapo Oktoba mwaka huu!

Tuendeleze tafakuri ndugu zangu!!!
Mungu alitaka kuyuonyesha Watanzania Unafiki wa Viongozi wa Vyama vya Upinzani,ona mwingine kapokelewa na Gavana Kada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom