Je kijana mzalendo, utajiunga na jeshi la Police la sasa?


Msandawe Halisi

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Messages
649
Likes
50
Points
45
Msandawe Halisi

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2010
649 50 45
Nimetoa jibu kwa familia yangu ya karibu No No No! Wananishauri eti nijiunge nalo.
Ninanjaa lakini siwezi kwenda kujidharaulisha kiasi hiki. Jeshi limekuwa Condom, jeshi gani hili la majimaji au maumau. Afadhali nijiunge na jeshi la mgambo tu.
Weledi wa jeshi la police ilikuwa zamani. Sasa hivi jeshi la police limedharaulika na linaonekana kama choo cha city.
Jeshi linaua raia wake wasiye na makosa, jeshi gani hili. Eti jeshi na siasa
Sisi raia tutawakataa na ndipo siku mtatumiminia risasi zenu zote. Ila na nyinyi amtasalimika.
 

Forum statistics

Threads 1,274,136
Members 490,601
Posts 30,502,217