Inategemea na focus yake mwenyewe.Niliombe jukwaa hili linisaidie kujua kozi nzuri Chuo Kikuu inayoweza kuchukuliwa na mwanafunzi aliyemaliza HKL form VI.
SawaHuwa najiuliza swali, hivi mpaka umeenda kusoma HKL hukujua unataka kozi gani baada ya hapo???
Yani unasoma tu mradi, huna malengo kabisa kweli??
Mimi nakushauri usiendelee kusoma maana hujui unachokitaka ni bora ukalime mihogo.
Law,mass could mmunication,Education,Sociology,ps pa nk
Ni Bachelor of Laws mkuuBachelor of Law
Vipi B/Mathematics O level. Maana kuna baadhi ya kozi zinahitaji uhusiano na O level mathematics.
Piga Laws
Omba Business Administration but sio UDOM na UDSM maana wanataka C Mathematics o levelForm IV maths D.
Mkuu chuo gani kinatoa hii course bila kuwa na Credit ya mathematics kwa O-level?,nilikua nacheki UDSM, dogo anaitaka ila hakufaulu hesabuHuman resource management
Mzumbe, Mwalimu NyerereMkuu chuo gani kinatoa hii course bila kuwa na Credit ya mathematics kwa O-level?,nilikua nacheki UDSM, dogo anaitaka ila hakufaulu hesabu