Je, kijana aliyemaliza HKL form 6 anaweza kwenda kozi gani nzuri chuo kikuu?

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
21,428
37,641
Niliombe jukwaa hili linisaidie kujua kozi nzuri Chuo Kikuu inayoweza kuchukuliwa na mwanafunzi aliyemaliza HKL form VI.
 
Aende koz za businsss mfano, procurement and logistics management, transportation and logistics, Business administration kama ana D ya mathe form 4, marketing,Accounting.
Ila angalia kwanza yeye anataka kusomea nn bimaana ukimfosi asome koz asizopenda matokeo yake ataenda kusapu tu, na hatoelewa anachofundishwa coz hakipo moyoni,. Kila la kheri.
 
Huwa najiuliza swali, hivi mpaka umeenda kusoma HKL hukujua unataka kozi gani baada ya hapo???
Yani unasoma tu mradi, huna malengo kabisa kweli??
Mimi nakushauri usiendelee kusoma maana hujui unachokitaka ni bora ukalime mihogo.
 
Sawa
 
1.bachelor of law ( mzumbe,udsm,university of iringa(zamani Tumaini) e.t.c)
2 public administration (👆)
3.health systems management (hii inapatikana mzumbe university )
 
Back
Top Bottom