Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,938
Kwa mujibu wa maandiko(Biblia) ni kifo cha Yesu Kristo tu ndicho kimebeba ukombozi kwa mwanadamu.
Hakuna binadamu mwingine mwenye jina au damu inayoweza kumkomboa mwanadamu isipokuwa Yesu.
Sasa kwanini Mitume karibu wote ukimwondoa Yohana aliyepewa ufunuo waliuwawa kinyama?
Mungu alishindwa kuzuia?
Je, Mungu haangalii mateso na shida za watu wake wawapo hapa duniani?