Oxpower
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 2,142
- 2,998
Natumai mko salama, naomba niende moja kwa kwenye swali
Baada ya mheshimiwa kuingia madarakani alizuia uhamisho wa aina yoyote ili kupisha zoezi la uhakiki.Kwa bahati mbaya sijawahi kusikia kuwa amesharuhusu(ametoa kibali zoezi liendelee) lakini cha ajabu nimeona watu kama watatu wanahama.Sina mazoea nao kwahiyo nikashindwa kuulizia.
Je kibali kishatolewa?na kama hakijatolewa wao wanatumia mbinu gani nami nitumie kama nitaweza .
Natanguliza shukrani