Je kauli ya lowasa juu ya hali ya elimu inamaanisha nini kwa walimu na wanafunzi wa tanzania?

MeinKempf

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
11,094
7,218
Babu gamba mstaafu aliyejiweka pembeni ameamua kusema kuwa natoa yaliyo moyoni mwake juu ya mfumo mbovu wa elimu tuliona nao hapa nchini kwetu na yeye anasema kuwa anaomba kushirikiana nasi katika kufanikisha kuwa ndoto yake ya kuwa anelimu bora kwa wanafunzi na walimu nchini inatimia kabla hajawa chali ., je ndoto yake inaleta maan ipi kwa sekata ya eklimu hasa kwa walimu na wanafunzi wa Tanzania kwa ujumla. aliyasema hayo wakati wa harambee ya sacoss ya walimu moshi vijijini .
 
Back
Top Bottom