Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 19,407
- 25,926
Umeshasahau kama mkuu wa mkoa wa Kigoma wa sasa kipindi yupo Fire and rescue naye alitumbuliwa kwa mbwembwe lakini mwisho wa siku akateuliwa tena.Bashite .....
Mi naona kabisa koroboi utambi unazama. Magu hanaga mambo ya kiswahili Kwanza Hana Siri akisema hakutaki ,hakutaki kweli, akisema sijakutuma ujue hujatumwa Hana kupapasa papasa mambo.
Kwenye hili makondo hawezi kosa tundikwa dripi za kutosha.