uko sawa lakini bado vjana wengi mtaji ni tatizo kubwa kwani hata wamalizapo masomo wakitaka kukiendeleza kile walicho kisomea katika term ya business tatizo huwa mtaji na wengi hukopa na mwshowe biashara zina kufaWazo ndio linaanza, walioanza biashara wakidhani pesa ndio kila kitu wengi wao Huwa wanashindwa au wanaosema Nina mil kadhaa nifanye biashara Gani? Wengi wao huwa wanashindwa. Wanaofanikiwa ni wenye ubunifu wa wazo zuri Kisha wanaanza na mtaji mdogo wanagrow na kukua. Ukiwa na wazo au fursa usikate Tamaa vumilia kwa Muda utafika mbali
hii nondo hatari sana vijana take itKama unaanza na wazo kwanza ndio unatafuta mtaji (pesa),
kama unaweza kupata pesa kwa ajili ya biashara,
kama lengo ni kuanzisha biashara ili upate pesa,
Kwanini usiachane na mambo ya biashara ukaendelea kutafuta pesa?