Je Kati ya Computer na Binadamu nani ni smart zaidi?

Unalinganisha vipi kitu ambacho unakiendasha mwenyewe kifanye kazi vile unavyotaka kwa kutumia akili yako
 
Hio kitu haipo ...Ni myth

nachojua myth ni stories, tales ambazo mda ukienda zinafade kuwa legends na baadae ndio zinakuwa Myth.
Ni kwamba hata myth ilikuwa kwenye existence hata mpaka baadae ikasahaulika na kuhesabika kuwa ni jambo la kusadikika.

Point yangu ni kwamba jambo unalosema kuwa halipo ni lipo sema you just don’t believe it
 
...stories, tales ambazo mda ukienda zinafade kuwa legends na baadae ndio zinakuwa Myth.
Ni kwamba hata myth ilikuwa kwenye existence hata mpaka baadae ikasahaulika na kuhesabika kuwa ni jambo la kusadikika.

Point yangu ni kwamba jambo unalosema kuwa halipo ni lipo sema you just don’t believe it
Hebu thibitisha Kuwa lipo
 
Nimejaribu kujibu maswali yako lakin wewe ume avoid kujibu swali langu.. ulidai binadamu anafuata algorithm nikasema elezea ukajifanya haujona nlichoandika
Mkuu Maisha yote haya tunayoishi Ni algorithm...familia,ndoa,Serikali,uongozi,mahakama,Dini,Sheria,
Vyote vipo ndani ya code.
Haya hiyo akili Iko wapi?
 
Acha uongo!

Hata binadam hawezi kufanya kazi yoyote bila ya kuwa programmed kwanza. Nikupe mfano?

Tuseme wewe ni Dereva wa Lori. Ndio kazi yako. Ulienda VETA ukawa programmed kuendesha Lori tu.

Sasa ghafla tukubebe mzobe mzobe hadi Theatre Room hospital tukuambie mfanyie Operation ya moyo mgonjwa!

Tukuache humo peke yako, UTAWEZA?

Hata binadam lazima awe programmed. Hawezi kufanya kila kitu!
Uko sahihi hata mtoto akizaliwa anakuwa programmed kutokana na kile anachofunzwa na wazazi au mazingira
 
Unalinganisha vipi kitu ambacho unakiendasha mwenyewe kifanye kazi vile unavyotaka kwa kutumia akili yako
Hio pekee haitoshi,kwani gari si imetengenezwa na binadamu,sasa nikuulize kuna binadamu anaweza kukimbia spidi kuizidi gari?
 
Swali lako halieleweki

Simple, Ubongo ni kitendea kazi kwa mwanadamu kama ilivyokuwa kwa Computer, mawazo (minds) kwa binadamu ni kama softwares katika Computer na vyote Ubongo na Computer ni vitendea kazi vya mwanadamu, sasa iweje mtu aulize eti kati ya kitendea kazi (tool) na mtenda kazi (operator) kipi ni smart?!!----- what an ubsurd question !!? Hiyo ni sawa mtu aulize; Je Mungu anaweza kuumba Mungu mwingine kama yeye?!!🤣
 
Acha uongo!

Hata binadam hawezi kufanya kazi yoyote bila ya kuwa programmed kwanza. Nikupe mfano?

Tuseme wewe ni Dereva wa Lori. Ndio kazi yako. Ulienda VETA ukawa programmed kuendesha Lori tu.

Sasa ghafla tukubebe mzobe mzobe hadi Theatre Room hospital tukuambie mfanyie Operation ya moyo mgonjwa!

Tukuache humo peke yako, UTAWEZA?

Hata binadam lazima awe programmed. Hawezi kufanya kila kitu!
Uzi ufungwe
 
Wakuu,
Matajiri wawili wakubwa duniani waliwahi kutoa maoni yao juu ya uwezo wa computer;

Elon Musk yeye alisema computer ni smart zaidi ya binadamu kwenye maeneo mengi

Jack Ma yeye alisema Computer zina uwezo lakini binadamu ni smart zaidi kwa sababu binadamu ndio aligundua computer lakini hakuna computer imegundua binadamu;

Mimi nadhani wote wako sawa;

Nini maoni yako?

Credits;Quora forumView attachment 2032925View attachment 2032926View attachment 2032927
Binadamu yupo smart Zaidi ndio maana katengeneza hadi computer.
Computer imetengenezwa kwa mfumo wa kupokea amri na kuifanyia kazi hivyo ipo chini ya Ubongo wa binadamu.
 
Watu wanashindwa kuelewa mwanadamu ni smart zaidi ndiyo maana anatengeneza hizo kompyuta .
 
Haitaji kufika mbali hata bios ya O_level tu kama ulisoma vizuri inatosha kuelewa binadamu tuna uwezo mkubwa kiasi gani.
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom