‘A developmental state is characterized by having strong state intervention, as well as extensive regulation and planning. ... Johnson defined the developmental state as a state that is focused on economic development and takes necessary policy measures to accomplish that objective.’ (from Wikipedia Developmental state - Wikipedia ).
Kuna aina nyingi ya developmental states.
Mara nyingi developmental states:
1) Zinakuwa na miradi mikubwa ya kimkakati.
2) Zina himiza maendeleo ya viwanda.
3) Zina himiza maendeleo ya elimu.
4) Zina himiza maendeleo ya miundombinu.
5) Zina kuwa na falsafa ya uzalendo.
Wanazuoni wengi wamesema kwamba baadhi ya nchi za Asia kama Japan, Taiwan, Singapore, South Korea na Thailand ziliendelea kwa kasi kutokana na kuwa na ‘a developmental state’ (dola inayoleta maendeleo chanya).
Sometimes kwenye nchi hizo kuna vipindi ambavyo demokrasia iliminywa (hili sio jambo zuri).
Baadhi ya nchi hizi zilikuwa na ‘a benevolent dictator’ (dikteta mwema, mleta maendeleo) ambae sometimes alitawala muda mrefu (hili nalo sio jambo zuri).
Je, kati ya awamu zote za utawala Tanzania, ni awamu ipi ambayo ni a good ‘developmental state’ (dola inayoleta maendeleo chanya)?
Awamu ipi imeleta meandeleo kuliko awamu zingine?
Awamu ipi imewapa watu furaha kuliko awamu zingine?
Nime anzisha huu uzi kwa sababu nahisi kama wanazuoni walioko nyuma ya awamu ya tano wana ifikiria awamu hiyo in terms of ‘a developmental state’.