Je, kati hizi mbili wewe muoaji mtarajiwa umepanga kufanya ipi?

Mangungo II

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
18,021
26,334
Kwa wale wanaotarajia kuoa

Je, kati ya hizi situation mbili ipi ambayo wewe utaifanya (hususani wanaume)

Naomba maoni yako

Napata mtanziko

Screenshot_20200701-162013~2.jpg

Screenshot_20200701-161937~2.jpg
 
Duh kabla yakusoma koment nilikua sijaona tofoauti .

Binafsi sizan kama nitakua na mda uo asee

Mambo mengi
 
Mwanaume siko zote ndie mfalme kwa mke, mfalme hata siku moja hawez kuchutama mbele ya mke.
 
Ukiwa mjinga utadhani kujishusha ni ujinga, mawazo ya kiburi ni ya kipumbavu, na watu wajinga wanaweza kaa kwenye siti huku mkewe anaumia na ni mjamzito eti siwezi mpigia magoti mke.
Ndio maana Mungu hujishusha ili tuwe rafiki naye ili hali sisi ni watu tusiostahili hilo.
Hata matajiri hujishusha wawe kama watu wengine tu,
Au makamanda wakubwa jeshini hujishusha mtaani ili tuwe sawa.
Hii inamaana ukiwa baba jishushe ili kuwa karibu na mwanao Vinginevyo utamkosa.
Na kujishusha kwa mkeo ni kujiongezea heshima na kumgawia heshima mkeo.
KUJIFANYA KIBURI KWA MKEO NI WAZI WEWE NI DHAIFU NA USIYEFAA KWA JAMII, maana wewe huaminiki, kwa kupenda sifa zisizo na maana, most of all ni Upumbavu sana.
 
Mbona umeandika kwa hasira sana boss
 
Back
Top Bottom