Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,224
Katika Taifa Masikini Kama Tanzania Mkuu wa Wilaya Kama Kasesela anafurahi Kujipiga Picha na Kupost Kuwa yeye Ni Season Ticket Holder wa Golden State Warriors Kila Mtu anajua Gharama za Kuangalia NBAA hasa Timu kama ya Golden state warriors yenye Star kama Duncan Kwa Game Mmoja bei ya Chini Unaweza kuwa $120 ukibadilisha katika Fedha zetu Unaweza Kupata kuwa ni sh. 277,000 /= yeye anazipata wapi?
Season Ticket Holder kwa Lugha ya Michezo ni Mtu anayemiliki Ticket za Timu anayoishabikia katika Michezo yake ya Nyumbani yote anakua na nafasi ya Kuangalia.
Ukiacha Nauli ya Marekani Ambaye Mimi Sijawahi Kwenda ila Huenda Ikafikia sh 1,500,000 au sh 1,800,000 hapo hajalala bado na hajarudi hizi pesa za Kwenda Kuangalia Ligi ya Kikapu Marekani kila Timu inapokua inacheza Nyumbani Analipiwa na nani?
Jiangalie Rais aliopo huwa hapendi hivyo vitu mnavyovifanya!