Je, Kasesela ni Season Ticket Holder wa Golden State Warriors?

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,739
2,000
Katika Taifa Masikini Kama Tanzania Mkuu wa Wilaya Kama Kasesela anafurahi Kujipiga Picha na Kupost Kuwa yeye Ni Season Ticket Holder wa Golden State Warriors Kila Mtu anajua Gharama za Kuangalia NBAA hasa Timu kama ya Golden state warriors yenye Star kama Duncan Kwa Game Mmoja bei ya Chini Unaweza kuwa $120 ukibadilisha katika Fedha zetu Unaweza Kupata kuwa ni sh. 277,000 /= yeye anazipata wapi?

Season Ticket Holder kwa Lugha ya Michezo ni Mtu anayemiliki Ticket za Timu anayoishabikia katika Michezo yake ya Nyumbani yote anakua na nafasi ya Kuangalia.

Ukiacha Nauli ya Marekani Ambaye Mimi Sijawahi Kwenda ila Huenda Ikafikia sh 1,500,000 au sh 1,800,000 hapo hajalala bado na hajarudi hizi pesa za Kwenda Kuangalia Ligi ya Kikapu Marekani kila Timu inapokua inacheza Nyumbani Analipiwa na nani?

Jiangalie Rais aliopo huwa hapendi hivyo vitu mnavyovifanya!
IMG_20170613_125951_245.JPG

ISIS

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
91,459
2,000
Asante kwa kumuonya! I hope hajapata mapepo ya misifa, maana yale hayalali mpaka yakumalize kabisa!
 
Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
48,203
2,000
Hivi unamjua vizuri Kasesela na anapotokea au kwakuwa umemsikia akiwa mkuu wa wilaya? unajua back ground yake? hiyo mbona hela ndogo?
Sioni hoja ya msingi hapa....
 
Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,128
2,000
Hebu na wewe siku moja moja jiheshimu. Kwa hiyo sasa watu watapangiwa mpaka ratiba za mlo majumbani kwao au?

Yule aliyekwenda Marekani, Paris na SA mbona mpaka leo ni mkuu wa mkoa?

Kujikomba kwingine jamani mtakuja kudharauliwa hadi na wake zenu.
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
53,697
2,000
Siyo mbaya maana kasesela anapenda mchezo wa kikapu nakumbuka long time ktk viwanja vya tanesco pale drive in kila asubuhi alikuwa anaenda kupasha mazoezi.....
Sema tu jamaa ni misifaa camp

OvA
 
FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
4,741
2,000
kavaa tu tshirt hana jeuri ya kuwa seasonal ticket holder

jinsi mechi za nba zinavyochezwa siku za karibu ni ngumu sana kuishi tanzania na kwenda kila mechi.. maana safari ya dar to california ni almost 20 hours angani bado masaa ya airport kusubiri connection.. hapo uende na kuchek mechi na urudi bongo kazini na kisha uende tena... maana nba timu moja inaweza cheza hata 3 au 4 games in a 1 week
 
samora10

JF-Expert Member
Jul 21, 2010
7,552
2,000
Katika Taifa Masikini Kama Tanzania Mkuu wa Wilaya Kama Kasesela anafurahi Kujipiga Picha na Kupost Kuwa yeye Ni Season Ticket Holder wa Golden State Warriors Kila Mtu anajua Gharama za Kuangalia NBAA hasa Timu kama ya Golden state warriors yenye Star kama Duncan Kwa Game Mmoja bei ya Chini Unaweza kuwa $120 ukibadilisha katika Fedha zetu Unaweza Kupata kuwa ni sh. 277,000 /= yeye anazipata wapi?

Season Ticket Holder kwa Lugha ya Michezo ni Mtu anayemiliki Ticket za Timu anayoishabikia katika Michezo yake ya Nyumbani yote anakua na nafasi ya Kuangalia.

Ukiacha Nauli ya Marekani Ambaye Mimi Sijawahi Kwenda ila Huenda Ikafikia sh 1,500,000 au sh 1,800,000 hapo hajalala bado na hajarudi hizi pesa za Kwenda Kuangalia Ligi ya Kikapu Marekani kila Timu inapokua inacheza Nyumbani Analipiwa na nani?

Jiangalie Rais aliopo huwa hapendi hivyo vitu mnavyovifanya!
View attachment 523224

Yani hata nyie wenyewe bado mnafanyiana double standards? Mbona hujawahi kuhoji Bashite Kumiliki Lexus V8, BMW X6 na brand new Ford Ranger ya 2015?
 
Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,739
2,000
kavaa tu tshirt hana jeuri ya kuwa seasonal ticket holder

jinsi mechi za nba zinavyochezwa siku za karibu ni ngumu sana kuishi tanzania na kwenda kila mechi.. maana safari ya dar to california ni almost 20 hours angani bado masaa ya airport kusubiri connection.. hapo uende na kuchek mechi na urudi bongo kazini na kisha uende tena... maana nba timu moja inaweza cheza hata 3 au 4 games in a 1 week
Afadhari wewe unanitoa Mashaka maana nauli ni kama 3,000,000+ Ticket ya Game + Gharama za Hotel inaweza kufika 4,000,000/Game watu wameshaanza Kusema eti pesa ndogo unamjua Kasesela wewe!
 
Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
38,867
2,000
Tusipangie watu matumizi ya hela zao maana hatuwapangii jinsi ya kuzitafuta
 
COPPER

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
2,123
2,000
Katika Taifa Masikini Kama Tanzania Mkuu wa Wilaya Kama Kasesela anafurahi Kujipiga Picha na Kupost Kuwa yeye Ni Season Ticket Holder wa Golden State Warriors Kila Mtu anajua Gharama za Kuangalia NBAA hasa Timu kama ya Golden state warriors yenye Star kama Duncan Kwa Game Mmoja bei ya Chini Unaweza kuwa $120 ukibadilisha katika Fedha zetu Unaweza Kupata kuwa ni sh. 277,000 /= yeye anazipata wapi?

Season Ticket Holder kwa Lugha ya Michezo ni Mtu anayemiliki Ticket za Timu anayoishabikia katika Michezo yake ya Nyumbani yote anakua na nafasi ya Kuangalia.

Ukiacha Nauli ya Marekani Ambaye Mimi Sijawahi Kwenda ila Huenda Ikafikia sh 1,500,000 au sh 1,800,000 hapo hajalala bado na hajarudi hizi pesa za Kwenda Kuangalia Ligi ya Kikapu Marekani kila Timu inapokua inacheza Nyumbani Analipiwa na nani?

Jiangalie Rais aliopo huwa hapendi hivyo vitu mnavyovifanya!
View attachment 523224

Ungeshangaa kamzika Dada yake aitwaye Dr. Subilaga Kasesela na leo ana raha gani hadi aende huko aliko na furaha kibao
 
KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
4,377
2,000
Kosa sio kutumia fedha mtu anavyotaka...., kosa ni upatikanaji wa hizo pesa, kama kazipata legally mimi, wewe au mtu yoyote sio kazi yetu kumpangia matumizi
 
Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,739
2,000
Umaskini mbaya sana yaani ticket ya laki mbili ndio inakutoa povu hivi.
No 277,000 ni Ndogo Jumlisha Bei ya Ndege Kwenda na Kurudi 3,600,000+ Gharama za Hoteli

Inakuja Kama 4,300,000 kuna mdau anasema NBA wanacheza hata Game 3 sasa chukua wamecheza Game 2 kwa Wiki Je hiyo pesa siyo Nyingi?
 
aye

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
2,094
2,000
Katika Taifa Masikini Kama Tanzania Mkuu wa Wilaya Kama Kasesela anafurahi Kujipiga Picha na Kupost Kuwa yeye Ni Season Ticket Holder wa Golden State Warriors Kila Mtu anajua Gharama za Kuangalia NBAA hasa Timu kama ya Golden state warriors yenye Star kama Duncan Kwa Game Mmoja bei ya Chini Unaweza kuwa $120 ukibadilisha katika Fedha zetu Unaweza Kupata kuwa ni sh. 277,000 /= yeye anazipata wapi?

Season Ticket Holder kwa Lugha ya Michezo ni Mtu anayemiliki Ticket za Timu anayoishabikia katika Michezo yake ya Nyumbani yote anakua na nafasi ya Kuangalia.

Ukiacha Nauli ya Marekani Ambaye Mimi Sijawahi Kwenda ila Huenda Ikafikia sh 1,500,000 au sh 1,800,000 hapo hajalala bado na hajarudi hizi pesa za Kwenda Kuangalia Ligi ya Kikapu Marekani kila Timu inapokua inacheza Nyumbani Analipiwa na nani?

Jiangalie Rais aliopo huwa hapendi hivyo vitu mnavyovifanya!
View attachment 523224

mkuu Duncan alisha staafu akiwa san antonio spurs mastaa walioko gsw ni durant, curry, clay,draymond zaza, magee na wengineo.
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
27,060
2,000
Katika Taifa Masikini Kama Tanzania Mkuu wa Wilaya Kama Kasesela anafurahi Kujipiga Picha na Kupost Kuwa yeye Ni Season Ticket Holder wa Golden State Warriors Kila Mtu anajua Gharama za Kuangalia NBAA hasa Timu kama ya Golden state warriors yenye Star kama Duncan Kwa Game Mmoja bei ya Chini Unaweza kuwa $120 ukibadilisha katika Fedha zetu Unaweza Kupata kuwa ni sh. 277,000 /= yeye anazipata wapi?

Season Ticket Holder kwa Lugha ya Michezo ni Mtu anayemiliki Ticket za Timu anayoishabikia katika Michezo yake ya Nyumbani yote anakua na nafasi ya Kuangalia.

Ukiacha Nauli ya Marekani Ambaye Mimi Sijawahi Kwenda ila Huenda Ikafikia sh 1,500,000 au sh 1,800,000 hapo hajalala bado na hajarudi hizi pesa za Kwenda Kuangalia Ligi ya Kikapu Marekani kila Timu inapokua inacheza Nyumbani Analipiwa na nani?

Jiangalie Rais aliopo huwa hapendi hivyo vitu mnavyovifanya!
View attachment 523224

Ana tofauti gani na yule aliekua anapost anamwagiwa maji na wala ubwabwa maharage wenzake. Au kwa vile huyo sio wa kutoka njia moja ndo maana mnamuonea,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom