Je, Karatasi za kwenye mifuniko ya bia ni hatari kwa afya?

mambali

Senior Member
Oct 16, 2012
172
64
Wadau naomba kujuzwa hasa na wataalamu wa afya za binadamu, kuna bia aina mbili ambazo vizibo vyake vimefungashwa na makaratasi kuzunguka mdomo wa chupa.

Je, karatasi hizo hazina madhara kwa watumiaji?
 
Back
Top Bottom