nkanga chief
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 2,084
- 1,622
Hii kampuni ipo Mwanza nyakato inatangaza kazi sharti la Kwanza utoe elfu thelathini ya kiingilio je? Hawa matapeli??
Mmi kwakweli nkishatajiwa pesa wakati wa kutafuta kazi hapo hatuelewani kabisaaaaaaa labda kuwe na makubaliano kwamba hiyo pesa ntampa nkishaingia kazini tena kutoka kwenye mshahara wangu na si vinginevyo.Hii kampuni ipo Mwanza nyakato inatangaza kazi sharti la Kwanza utoe elfu thelathini ya kiingilio je? Hawa matapeli??
Hapa sasa niwasaidie ndugu zangu,na hii ni story yangu ya kweli.mwaka 2012 hawa watu walikuwa na ofisi pale u-turn Mwanza kweli walikula pesa yangu kwa adisi ya wazungu wanakuja.baada ya muda mrefu nilienda kuhoji baadhi ya watu wakaniambia hao watu wapo hapo Toka muda sana na kuna watu Toka 2009 wanasubiri ajira,nitumie nafasi hii kuwaonya tafadhalini msipoteze Muda wenu na pesa zenu.tafuteni kazi mtapata ila sio hapo.Hiyo kampuni naifahamu vizuri ipo nyakato mecco na ninafanya kazi nao wanalipa vizuri kwa dollar usiwe na wasiwasi
Asante mkuuHapa sasa niwasaidie ndugu zangu,na hii ni story yangu ya kweli.mwaka 2012 hawa watu walikuwa na ofisi pale u-turn Mwanza kweli walikula pesa yangu kwa adisi ya wazungu wanakuja.baada ya muda mrefu nilienda kuhoji baadhi ya watu wakaniambia hao watu wapo hapo Toka muda sana na kuna watu Toka 2009 wanasubiri ajira,nitumie nafasi hii kuwaonya tafadhalini msipoteze Muda wenu na pesa zenu.tafuteni kazi mtapata ila sio hapo.
Chuo mbona ukalipa ada bila kujua kamu itafanikiwaMmi kwakweli nkishatajiwa pesa wakati wa kutafuta kazi hapo hatuelewani kabisaaaaaaa labda kuwe na makubaliano kwamba hiyo pesa ntampa nkishaingia kazini tena kutoka kwenye mshahara wangu na si vinginevyo.