Je kampuni gani hutoa gawio zuri kwa wanahisa wake?

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,417
3,154
Nataka kuingia katika uwekezaji wa hisa, naomba kujua yafuatayo: je kampuni gani inayotoa gawio (faida) nzuri kwa wawekezaji (wanahisa wake)?, pamoja na utaratibu wa kununua hisa upoje?. Pia, je utaratibu mzima wa hisa ulivyo hapa Tanzania? Naomba kuwakilisha.
 
NENDA DAR STOCK EXCHANGE AU TEMBELEA TOVUTI YAO HAYOYOTE YAKO HUKO,

hatahivyo unachanganya mambo mawili hapo, hisa zinazo uzwa na Dar stock exchange nitofauti na zinazo milikiwa na wanahisa/ watu wenye share kwenye kampuni
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom