Je, Kampeni Meneja wa huyu si kila mara atakuwa anacheka tu kwa Vituko vya Uchekeshaji alivyobarikiwa navyo Boss wake?

Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,401
2,631
Mchekeshaji Kingwendu amesema leo Julai 6, anarudisha fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Ilala, na tayari amepata wadhamini wa kumsaidia kwenye kampeni zake na hataweza kufilisika, kuuza nyumba au gari kama ilivyomtokea mwaka 2015 kwenye shughuli za kuendesha kampeni

DarMpya

Kwangu Mimi Mzukulu ukiniambia Leo hii nikutajie Warithi wa Mchekeshaji Nguli nchini Hayati Mzee King Majuto basi Kingwendu na Joti hawawezi Kukosekana katika List yangu
 
Back
Top Bottom