Je, Kamati ya Haki, Kinga na madaraka ya Bunge itamhoji Spika Ndugai?

Wafuatiliaji wengi wa mambo tunajiuliza, kitendo cha Spika kutangaza Bunge lake halijafanya kazi yake ipasavyo ya kuisimamia Serikali hadi nchi kufikia deni la 70+ trilion sio kushusha hadhi ya Bunge?

Kama angetoa kauli hii mtu mwingine kesho angeitwa kwenye hii kamati, basi tunaomba haki itendeke kwa Bw. Ndugai kuitwa kwenye kamati ya Hadhi, Kinga na madaraka ya Bunge ili ajieleze kwanini anashusha hadhi ya Bunge letu.
Akahojiwa kipi wakati ni ukweli shehe, taifa lina deni kubwa hakuna siri makaratasi yanaongea
 
Naambiwa kuwa Jobo amepewa wito wa kufika kwa Mkulu.

Utaratibu: akifika viunga vya Ikulu atatembea Kinape Nnauye.
 
Binge ni dhaifu,spika dhaifu na wabunge ni dhaifu pia.spika aitwe kamati ya maadili ya bunge, amelidhalilisha bunge.
 
Yeye yuko juu ya sheria. Genge la Magufuli. Hata wakikumiminia risasi, hawashitakiwi popote hapa Tanzania. Wana kinga eti. Kweli Katiba mpya inahitajika kwa udi na uvumba.
Tunapodai Katiba mpya tunaambiwa tumetumwa na mabeberu,wananchi hawahitaji hawajawahi kulibebea mabango,kuandamana nk.utadhani huwa wanapokea mabango/maandamano zaidi ya kuyazuia kizembe zembe na kunyanyasa wanaojaribu kufanya hivyo.
Madai ya Katiba ya wananchi hayana mbadala kwa ustawi wa taifa letu.Chukua hatua!
 
Wafuatiliaji wengi wa mambo tunajiuliza, kitendo cha Spika kutangaza Bunge lake halijafanya kazi yake ipasavyo ya kuisimamia Serikali hadi nchi kufikia deni la 70+ trilion sio kushusha hadhi ya Bunge?

Kama angetoa kauli hii mtu mwingine kesho angeitwa kwenye hii kamati, basi tunaomba haki itendeke kwa Bw. Ndugai kuitwa kwenye kamati ya Hadhi, Kinga na madaraka ya Bunge ili ajieleze kwanini anashusha hadhi ya Bunge letu.
Wanakuhamisha njia hao.Dai katiba na dai Mbowe aachwe huru.
 
Back
Top Bottom