Je, kama leo ingekuwa siku ya kiama kosa gani ambalo ungehojiwa na mungu ungeshindwa kujitetea?

Mwabhleja

JF-Expert Member
Jan 27, 2016
1,351
2,060
Binafsi kuna kosa ambalo laiti kama ningehojiwa Leo basi ningepata Taabu sana kujitetea.

Kuna Fundi nimebeba kichwa cha cherehani kisa deni LA 50000 ila amekomboa

Pamoja na hayo nikakumbuka kale kamsemo ka Yesu, "KOPESHENI PASIPO KUTAZAMIA KULIPWA" nikagundua kuna kosa nimetenda.

Je, wewe ndugu yangu unadhani kosa gani lingekupa wakati mgumu kiama kingekuwa Leo.
 
Ole Nsukuma,mi ningeshindwa kujibu kwa nini sijasaidia watu wenye matatizo mbali mbali na ni moja ya malengo yangu
 
Dhambi ya uongo haijawah kumuacha mtu salama, hasa uongo wa kwenye simu na kuongopeana kwenye mahusiano
 
Hii ya uongo ingenimaliza mkuu

Hususani kizazi hiki cha digitali, MTU anapigiwa simu na bibi yake ati bibi samahani nitakupigia Niko Google, bibi anatulia akidhani Google ni sehemu nyeti hairuhusiwi kuongea na simu
 
tatizo wanadamu tunaishi kwa kukalilishwa. binafsi swala la moto wa jehanam au kiama ni nadhalia tu Hamna kitu ka hicho.
 
Daah! Siwezi ata liweka hapa! Ila najua nishasamehewa! Hawezi niuliza kuhusu hilo!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom