Je Julius (mwanafunzi aliyeandika Bongo fleva) anaweza kushtakiwa?

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,417
3,154
Naomba kujua kisheria zaidi, je yule mwanafunzi aliyeandika mistari ya Bongo fleva kwenye mtihani wake wa kidato cha nne, je anaweza kushtakiwa? Kama ndiyo kwa sheria kosa lipi na kwa sheria ipi?
MTIZAMO WANGU: hawezi kushtakiwa kwa kuwa hakumkashifu mtu wala taasisi yoyote. Naomba kuwakilisha.
 
Mtazamo wako ndio ushauri niliotaka kukupa.
Ref. Article 13(6)(c) of the constitution of tz 1977, "no person shall be punished for any act which at the time of its commission was not an offence under the law...".
 
Je kwa sasa, kwa mujibu za sheria hata za NECTA, kuandika maneno yasiyokashfu mtu au taasisi yoyote sio kosa?
 
Anaweza kushtakiwa tu kama kuna mtu ambaye alimtukana au kumchafulia jina,ila kama aliandika maneno yake haina sehemu ya kuisimamia mahakamani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom