Je, Jk ameanza kufunga Vilago Ikulu?


QUALITY

QUALITY

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Messages
854
Likes
2
Points
0
QUALITY

QUALITY

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2010
854 2 0
Ki utaratibu, Rais anayemaliza muda wake ameishaona kuwa kuna uwezekano wa kushindwa. Je ameishafunga vilago ili kama Dr. Slaa akishinda ampishe? Maana wengine wataniuliza eti, je akishinda? Hilo halina tatizo, atafungua vilivyo vyake ili aanze kutunyonya tena kwa miaka mitano na kuongeza muda wa mikataba mibovu.

Lakini akishindwa, asitucheleweshe kumwingiza rais wetu ili aanze kazi mara moja.
 

Forum statistics

Threads 1,250,658
Members 481,436
Posts 29,740,658