Je jitihada hizi zitasaidia, kuleta mageuzi ya kielimu tanzania na duniani kwa ujumla??


S

Schoolbook

Member
Joined
Aug 31, 2011
Messages
27
Likes
0
Points
0
S

Schoolbook

Member
Joined Aug 31, 2011
27 0 0

<WENYE SHULE/VYUO>
na WASAMBAZAJI WA VIFAA VYA SHULE
HII NI KWA WAMILIKI WA SHULE,VYUO NA VITUO VYA MAFUNZO. SASA UNAWEZA KUIFANYA SHULE YAKO KUWA MAALUFU NA BORA NDANI NA NNJE YA TANZANIA, TEMBELEA Schoolbook Classic | Home page UTAPATA MAELEZO ZAIDI. GHARAMA NI BURE, RAHISI NA SALAMA. WAHI SASA, NA UIFANYE SHULE YAKO KUWA MAARUFU KITAIFA NA KIMATAIFA. Wengi wanatumia, wewe unangoja nini?

<WAZAZI NA WALEZI>
"Walezi na wazazi pia wanaweza kupata kujua habari mbalimbali za mashule na vyuo mbalimbali ndani ya nchi yao na Duniani kwa ujumla". Mzazi acha kubabaika na shule gani nzuri, ipo wapi na inafundisha nini?, hayo na mengine mengi yanajibika ndani ya tovuti hii (schoolbook1.com) wewe tembelea leo na ujionee, ni jinsi gani utaokoa pesa na muda wako kwa kutafuta shule au chuo kizuri kwa ajiri ya mtoto wako. Hata kiwe nje ya Nchi yako, kitatufikia nasi tutakifikisha kwako, nawe utapata kujua mengi kuhusu hiyo shule au chuo. Hayo yote na mengine mengi ni bure, rahisi na salama kutumia.

Kumbuka:
Lengo ni kuboresha huduma za elimu kwa wote, na kuwa na ufanisi zaidi, huku tukiokoa muda na pesa katika hilo.
Aksanteni...
 

Forum statistics

Threads 1,238,253
Members 475,878
Posts 29,313,793