Je, itakapotimia miaka 500 ya uhuru, bado tutaitwa taifa maskini?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,052
40,715
Assumimg Tanganyika inatimiza miaka 500 ya uhuru, hivi kuna uwezekano bado tukawa tunaitwa third world country?
 
Nina wasi wasi tunaweza tukawa tumefutika kwenye ramani ya dunia ama hatutakuwa tena taifa huru:(
 
dunia itakua ishaisha kitambo mkuu haya yanayotufanya tuishi kama mashetani ndo yatakua kuni kule motoni
 
Mkuu hiyo miaka tutaitwa taifa zee masikini kwani wewe haujawahi kuona mtu anazeeka na umasikini wake?

So na Tanganyika itazeeka na u third world country wake.
 
Back
Top Bottom