Je, Israel ya sasa ni Taifa teule la Mungu au ni propaganda tu za kanisa?

PumziNdefu

PumziNdefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2018
Messages
556
Points
1,000
PumziNdefu

PumziNdefu

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2018
556 1,000
God is not a man, that He should lie, nor a son of man, that He should repent.
Has He said, and will He not do? Or has He spoken, and will He not make it good? Numbers 23:19

My covenant will I not break, nor alter the thing that is gone out of my lips. Psalm 89:34

I say then, hath God cast away His people? God forbid. For I also am an Israelite, of the seed of Abraham, of the tribe of Benjamin. God hath not cast away His people which He foreknew. Romans 11:1 - 2b

Wakristo ni warithi pamoja na Israel na sio mbadala wa Israel.
 
Truth Teller

Truth Teller

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Messages
847
Points
1,000
Age
23
Truth Teller

Truth Teller

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2016
847 1,000
Haijulikani walipo maana walipotea utumwani zaidi ya makabila 10 na walichanganyika na mataifa mengine hivyo bado hawajulikani wako wapi leo labda iko siku watapatikana ila hawa waliopo Tel Aviv ni wahuni tu waliojivika uyahudi wakati walitokea kwenye milima ya Khazaria na sio Judeah.
Milima ya khaizaria IPO wapi?
then hawa kina nyettanyahu huwa wanatumia utambulisho wa Kabila Gani?

sorry mkuu, mpaka Sasa, Israel Ina Makabila mangapi, ambayo wanaishi humo? (Currently).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,424
Points
2,000
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,424 2,000
God is not a man, that He should lie, nor a son of man, that He should repent.
Has He said, and will He not do? Or has He spoken, and will He not make it good? Numbers 23:19

My covenant will I not break, nor alter the thing that is gone out of my lips. Psalm 89:34

I say then, hath God cast away His people? God forbid. For I also am an Israelite, of the seed of Abraham, of the tribe of Benjamin. God hath not cast away His people which He foreknew. Romans 11:1 - 2b

Wakristo ni warithi pamoja na Israel na sio mbadala wa Israel.
Bible is very clear

Galatia 3:28-29
28 Hapana Myahudi wala Myunani. Hapana mtumwa wala huru. Hapana mtu mume wala mtu mke. Maana ninyi nyote mmekuwa mmoja katika Kristo Yesu.
29 Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahimu, na warithi sawasawa na ahadi.

Hapo keshavunja status ya Israel kwa kusema wote tuko sawa mbele ya macho yake na akasema warithi wa Ahadi za Abraham yaani mistari yote ulioniwekea hapo kuhusu Mungu kutoiacha Israel zimekuwa extended kwa wakristo hivyo muisrael akitaka kupona naye ni lazima awe mkristo not otherwise.

Tusome.....Yohana 1:11-12
11 Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea.
12 Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake

Hapa Bible imeclarify kuwa wayahudi walimkataa ila wote waliompokea (yaani hata watu wa mataifa) walifanyika wana wa Mungu. Sasa kama waisrael walimkataa si ina maana sio wana wa Mungu hivyo Mungu hawatambui.

Mistari iko mingi sana ila conclusion kibiblia ni kwamba ni kupitia Yesu tu ndio utafika kwa Mungu not otherwise sijui ww mgiriki cjui ww mwanaume cjui taifa teule.... Hiyo haipo tena mkuu. Labda uje na mistari ya agano jipya ikisema unaweza fika kwa Mungu kama ww ni myahudi bila Yesu.

Nasubiri
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,424
Points
2,000
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,424 2,000
Milima ya khaizaria IPO wapi?
then hawa kina nyettanyahu huwa wanatumia utambulisho wa Kabila Gani?

sorry mkuu, mpaka Sasa, Israel Ina Makabila mangapi, ambayo wanaishi humo? (Currently).

Sent using Jamii Forums mobile app
Khazar walitokea katika milima ya inayoitwa uturuki ya leo walibananishwa kati ya dola ya kirumi yaani Byzantium na upande wa mashariki yaani Islamic caliphate iliyokuwa Iraq ya sasa. Hivyo ili walinde uhuru wao ikabidi wajitofautishe na hizo dini mbili kubwa za kidola yaani wakristo na waislam hivyo ikabidi Khagan (mfalme) wao ajisalimishe kwa dini ya uyahudi/Judaism sasa miaka ikasogea baadae utawala ukamezwa na wakatawanyika ulaya nzima ndio wakaanza itwa ashkenaz

so after miaka mingi kupita watu wakadhani kuwa wale ni wayahudi wa kiasili kumbe ni wayahudi wa kidini tu ndio hao kina netanyahu ukiwaangalia wazungu kabisa wana nywele nyeupe eti wayahudi wa asili.... Toka lini middle east kuna watu wa aina ile?? Wale sio semites bali ni Caucasians kabisa kama tu wazungu wengine wa ulaya.

Mpaka Yesu anaondoka makabila yaliyobaki PURE ni mawili tu yaani Yuda+Benjamin ila makabila 10 yalishapotea hata waisrael wanakubali hilo.....

Sasa hawa kina netanyahu watadhani labda wao ni lineage ya yale makabila mawili yaliyosalia kutokea ufalme wa Judah ila official statistics inaonyesha 80% ya wayahudi waliopo duniani ni Ashkenazi na hao 20% ndio jamii nyingine kama sephards wa kule spain,beta wa Ethiopia n.k

Mjadala ndio ukaanzia hapo Je Ashkenazi ambao wamejaa ujerumani,urusi n.k ni uzao wa Yakobo?? Ndio ikawa concluded hivyo kwenye kitabu cha 13th tribe kwamba wale sio uzao wa Yakobo wala Yuda bali wahuni tu wa uturuki waliotaka kutumia hyo dini kulinda uhuru wao.

I hope nimeeleweka
 
KING KIGODA

KING KIGODA

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2018
Messages
249
Points
225
KING KIGODA

KING KIGODA

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2018
249 225
Bible is very clear

Galatia 3:28-29
28 Hapana Myahudi wala Myunani. Hapana mtumwa wala huru. Hapana mtu mume wala mtu mke. Maana ninyi nyote mmekuwa mmoja katika Kristo Yesu.
29 Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahimu, na warithi sawasawa na ahadi.

Hapo keshavunja status ya Israel kwa kusema wote tuko sawa mbele ya macho yake na akasema warithi wa Ahadi za Abraham yaani mistari yote ulioniwekea hapo kuhusu Mungu kutoiacha Israel zimekuwa extended kwa wakristo hivyo muisrael akitaka kupona naye ni lazima awe mkristo not otherwise.

Tusome.....Yohana 1:11-12
11 Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea.
12 Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake

Hapa Bible imeclarify kuwa wayahudi walimkataa ila wote waliompokea (yaani hata watu wa mataifa) walifanyika wana wa Mungu. Sasa kama waisrael walimkataa si ina maana sio wana wa Mungu hivyo Mungu hawatambui.

Mistari iko mingi sana ila conclusion kibiblia ni kwamba ni kupitia Yesu tu ndio utafika kwa Mungu not otherwise sijui ww mgiriki cjui ww mwanaume cjui taifa teule.... Hiyo haipo tena mkuu. Labda uje na mistari ya agano jipya ikisema unaweza fika kwa Mungu kama ww ni myahudi bila Yesu.

Nasubiri
Galatia 3:28_29 ni maneno yatokayo kinywani kwa Mungu au Yesu?.

aha sawa sawa.
je, Hizi mbinu zao za ki Jasusi na akili na maarifa wametoa wapi?

au ndiyo wamepewa na Mungu ili kuilinda Israel Nchi then badae watoke OG wamiliki

Ni kweli Yesu ndio njia pekee ila ukristo pia ulianzia kwa wayahudi. Kanisa la kwanza lilikuwa ni la wayahudi na wao ndio walioipeleka injili nje ya Israel. Na hata sasa kuna wayahudi wengi tu wakristo japokuwa sio kama taifa.

My point was, as a nation, kile alichokiahidi Mungu kwa Abraham na uzao wake HAKIJABADILIKA.

This is what the Lord says, He who appoints the sun to shine by day, who decrees the moon and stars to shine by night, who stirs up the sea so that its waves roar, the Lord Almighty is his name: “Only if these decrees vanish from my sight,” declares the Lord, “will Israel ever cease being a nation before me.” Jeremiah 31:35 - 36. Plus the previous verses.

Ila kama taifa pia watakuja kumtambua Yesu kama Masia wanayemsubiri:

I will go and return to my place, till they acknowledge their offence, and seek my face: in their affliction they will seek me early. Hosea 5:15.

And I will pour upon the house of David, and upon the inhabitants of Jerusalem, the spirit of grace and of supplications: and they shall look upon me whom they have pierced, and they shall mourn for him, as one mourneth for his only son, and shall be in bitterness for him, as one that is in bitterness for his firstborn. Zechariah 12:10

1948 of itself was a miracle in the fulfilment of the prophecy after almost 1000 years. Na hii replacement theology ilianza hasa kipindi hiki wakati Israel kama taifa halikuwepo. Kwa kushindwa kuyaamini maandiko ndio wakajaribu ku-justify by this replacement theology.

For I would not, brethren, that ye should be ignorant of this mystery, lest ye should be wise in your own conceits; that blindness in part is happened to Israel, until the fulness of the Gentiles be come in. And so all Israel shall be saved: as it is written, There shall come out of Sion the Deliverer, and shall turn away ungodliness from Jacob: For this is my covenant unto them, when I shall take away their sins. As concerning the gospel, they are enemies for your sakes: but as touching the election, they are beloved for the father's sakes. For the gifts and calling of God are without repentance. Romans 11: 25 - 29.
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,424
Points
2,000
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,424 2,000
aha sawa sawa.
je, Hizi mbinu zao za ki Jasusi na akili na maarifa wametoa wapi?

au ndiyo wamepewa na Mungu ili kuilinda Israel Nchi then badae watoke OG wamiliki

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili yao yaani IQ ya kawaida tu sema wanakua exaggerated sana mfano south Korea,malaysia,Japan wana IQ kubwa sana kuliko Israel kwa mbali sana ila sijawahi ona wakipewa coverage..... Utasikia Nobel wameshinda Wayahudi wengi ila hawasemi 80% ya washindi wa tuzo za Nobel ni jamii ya Aryans.

Mkuu ukitaka ucontrol dunia miliki media nyingi kama wayahudi basi hta ukifanya success ndogo tu itaonekana dunia nzima
 
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
14,685
Points
2,000
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
14,685 2,000
Kwa lugha nyepesi kabisa ninavyoelewa mimi, kubisha kama Israel ni taifa la Mungu ni sawa na kubisha Bikira Maria kumzaa Mungu!!

Yes kupitia agano jipya sisi Wakristo ndio Israel mpya kupitia damu ya Yesu Kristo msalabani lakini hilo halibadili ukweli kuwa Mungu alishuka duniani kwa kuchagua Israel kuwa Taifa lake maana yake wale ni damu yake kupitia Bikira Maria ambaye ni Myahudi.

Hivyo Kristo angezaliwa na binti wa kinyambo huko Karagwe mkoani Kagera tungesema Tanzania ni Taifa la Mungu na Kristo ni mnyambo! Israel lilikuwa Taifa la Mungu toka agano la kale lakini Mungu amedhihirisha hilo kupitia yeye kuja kupitia huko!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,424
Points
2,000
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,424 2,000
Ni kweli Yesu ndio njia pekee ila ukristo pia ulianzia kwa wayahudi. Kanisa la kwanza lilikuwa ni la wayahudi na wao ndio walioipeleka injili nje ya Israel. Na hata sasa kuna wayahudi wengi tu wakristo japokuwa sio kama taifa.

My point was, as a nation, kile alichokiahidi Mungu kwa Abraham na uzao wake HAKIJABADILIKA.

This is what the Lord says, He who appoints the sun to shine by day, who decrees the moon and stars to shine by night, who stirs up the sea so that its waves roar, the Lord Almighty is his name: “Only if these decrees vanish from my sight,” declares the Lord, “will Israel ever cease being a nation before me.” Jeremiah 31:35 - 36. Plus the previous verses.

Ila kama taifa pia watakuja kumtambua Yesu kama Masia wanayemsubiri:

I will go and return to my place, till they acknowledge their offence, and seek my face: in their affliction they will seek me early. Hosea 5:15.

And I will pour upon the house of David, and upon the inhabitants of Jerusalem, the spirit of grace and of supplications: and they shall look upon me whom they have pierced, and they shall mourn for him, as one mourneth for his only son, and shall be in bitterness for him, as one that is in bitterness for his firstborn. Zechariah 12:10

1948 of itself was a miracle in the fulfilment of the prophecy after almost 1000 years. Na hii replacement theology ilianza hasa kipindi hiki wakati Israel kama taifa halikuwepo. Kwa kushindwa kuyaamini maandiko ndio wakajaribu ku-justify by this replacement theology.

For I would not, brethren, that ye should be ignorant of this mystery, lest ye should be wise in your own conceits; that blindness in part is happened to Israel, until the fulness of the Gentiles be come in. And so all Israel shall be saved: as it is written, There shall come out of Sion the Deliverer, and shall turn away ungodliness from Jacob: For this is my covenant unto them, when I shall take away their sins. As concerning the gospel, they are enemies for your sakes: but as touching the election, they are beloved for the father's sakes. For the gifts and calling of God are without repentance. Romans 11: 25 - 29.
Mkuu naona hatuelewani bado unanakiri old testament ilihali nimeshaweka vifungu vya agano jipya kuonyesha kuwa hizo ahadi mfano kutowaacha zinarithiwa na wakristo pekee sio wayahudi waliomkataa Yesu.

Pia nimeweka mstari unaosema hakuna cha myahudi wala myunani mbele za Mungu ikimaamisha hawana special treatment yoyote ile.

Labda unielezee hapa hiyo mistari ina maana gani?

Nimeomba pia hapa mstari kutoka agano jipya unaosema unaweza kwenda kwa Mungu bila kumkiri Yesu alafu hapo ndio nitaelewa kuwa wayahudi bado ni taifa la Mungu,teule and so on.

Hao wayahudi unaosema ndio ukristo unaanzia kwao.... Sio kwa sababu ni wayahudi bali sababu walimpokea ndio maana kuna waethiopia,wagiriki,efeso walimpokea Yesu na wakawa wakristo ilihali 90% ya Israel ilimkataa hivyo kama wataenda mbinguni ni pale tu wakimkiri Yesu not otherwise.

Karibu
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,424
Points
2,000
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,424 2,000
Kwa lugha nyepesi kabisa ninavyoelewa mimi, kubisha kama Israel ni taifa la Mungu ni sawa na kubisha Bikira Maria kumzaa Mungu!!

Yes kupitia agano jipya sisi Wakristo ndio Israel mpya kupitia damu ya Yesu Kristo msalabani lakini hilo halibadili ukweli kuwa Mungu alishuka duniani kwa kuchagua Israel kuwa Taifa lake maana yake wale ni damu yake kupitia Bikira Maria ambaye ni Myahudi.

Hivyo Kristo angezaliwa na binti wa kinyambo huko Karagwe mkoani Kagera tungesema Tanzania ni Taifa la Mungu na Kristo ni mnyambo! Israel lilikuwa Taifa la Mungu toka agano la kale lakini Mungu amedhihirisha hilo kupitia yeye kuja kupitia huko!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa lugha nyepesi kabisa ninavyoelewa mimi, kubisha kama Israel ni taifa la Mungu ni sawa na kubisha Bikira Maria kumzaa Mungu!!

Yes kupitia agano jipya sisi Wakristo ndio Israel mpya kupitia damu ya Yesu Kristo msalabani lakini hilo halibadili ukweli kuwa Mungu alishuka duniani kwa kuchagua Israel kuwa Taifa lake maana yake wale ni damu yake kupitia Bikira Maria ambaye ni Myahudi.

Hivyo Kristo angezaliwa na binti wa kinyambo huko Karagwe mkoani Kagera tungesema Tanzania ni Taifa la Mungu na Kristo ni mnyambo! Israel lilikuwa Taifa la Mungu toka agano la kale lakini Mungu amedhihirisha hilo kupitia yeye kuja kupitia huko!

Sent using Jamii Forums mobile app
Bible is very clear

Galatia 3:28-29
28 Hapana Myahudi wala Myunani. Hapana mtumwa wala huru. Hapana mtu mume wala mtu mke. Maana ninyi nyote mmekuwa mmoja katika Kristo Yesu.
29 Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahimu, na warithi sawasawa na ahadi.

Hapo keshavunja status ya Israel kwa kusema wote tuko sawa mbele ya macho yake na akasema warithi wa Ahadi za Abraham yaani mistari yote ulioniwekea hapo kuhusu Mungu kutoiacha Israel zimekuwa extended kwa wakristo hivyo muisrael akitaka kupona naye ni lazima awe mkristo not otherwise.

Tusome.....Yohana 1:11-12
11 Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea.
12 Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake

Hapa Bible imeclarify kuwa wayahudi walimkataa ila wote waliompokea (yaani hata watu wa mataifa) walifanyika wana wa Mungu. Sasa kama waisrael walimkataa si ina maana sio wana wa Mungu hivyo Mungu hawatambui.

Labda tusaidiane hapa Biblia ilimaanisha nni
 
Z

z12f

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Messages
244
Points
250
Z

z12f

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2017
244 250
Hichi kitabu cha the Thirteenth Tribe kina toa perspective fulani kwenye hii issue.

Hata hao wa palestina sio wazawa wa hapo. Wazawa wa hapo ni Wa Caanan. Wa Caanan walikuwa watoto wa Ham.

Waarabu ni watoto wa Shem.

Palestina ni kigiriki, ikimaanisha wafilisti. Wafilisti wa zamani walikua watoto wa Ham kupitia Misraim. Ham alikuwa mweusi.

Waisraeli walio watoa Wa Caanan zamani zile ni tofauti na Waisraeli wa leo.

Waisraeli wa zamani walikuwa watoto wa Shem. Waisraeli wazamani hawa kuwa watu weusi.

Rangi yao ya ngozi ilikuwa ina range from brown to white. Wengi wao wakipigwa na jua kwa muda mrefu, ngozi yao ilikuwa ina badilika na kuwa dark brown.

Rangi ya ngozi ya Mfalme Daudi ilikuwa light brown.

Rangi ya ngozi ya Adam ilikuwa reddish-brown (kama mfinyanzi wa reddish-brown).
 
KING KIGODA

KING KIGODA

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2018
Messages
249
Points
225
KING KIGODA

KING KIGODA

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2018
249 225
Yametoka kwa Mungu
Mi nasema hapana kwa maana anayeongea hapa:

15 Ndugu zangu, nanena kwa jinsi ya kibinadamu. Lijapokuwa ni agano la mwanadamu, hata hivyo likiisha kuthibitika, hakuna mtu alibatilishaye, wala kuliongeza neno.
Wagalatia 3:15

Ndiye huyo huyo aliyeongea katika wagalati 3:28-

Kuwa na wema basi hata kidogo kwa kusema kweli!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,296,332
Members 498,581
Posts 31,243,503
Top