Je, Israel itaweza kushambulia vinu vya nuclear Iran?

Israel wametuma nyambizi juzi kwenda Gulf lakini jana Iran katoa onyo kali kuwa ikivuka red line wataipiga
Marekani pia walishapeleka B-52H Middle East na supercarrier ile kubwa kabisa USS Nimitz na warships nyingine, walifanya mazoezi na jeshi la anga na maji la Saudi.

Israel inatafuta mvutano wa lazima na Iran katika siku za mwisho za uongozi wa Donald Trump ili kuleta machafuko Middle East, Israel haijaridhika kabisa.

Kitendo cha kusikia Iran imeongeza kasi ya urutubishaji wa uranium unamnyima usingizi Israel na hakuna kitu hawapendi kama hicho kuona adui wao na yupo nae karibu ana nuclear.

Israel alishachukua risk kubwa sana kwa kupiga kinu cha Iraq mpaka raisi Reagan akaandika "I swear I believe Armageddon is near,".
But this time around Israel hajui nini afanye kuzuia urutubishwaji wa uranium nchini Iran.
 
Back
Top Bottom