Je Israel itakubali kuwauzia Marekani mitambo yao ya kujikinga na mabomu??

so law

Senior Member
Dec 24, 2018
101
269
Najiuliza isarael ana nguvu gani kijeshi kuzidi Taifa kubwa la marekani..? Na marekani ana lengo gani mpka kununua mitambo ya kujikinga na mabomu kutoka Israel .. Kwa hulka ya marekani anavopenda kuonekana yuko top kwa kila kitu.. Imekuwaje mpka anataka ujuzi mwingine kutoka Israel..!? Wajuvi wa mambo tafadhali mnijuze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ilijuwa ni joint project kati ya Marekani na Israel kwa ajili ya kuzuia rockets za Hamas,sasa mfumo huu umeonyesha mafanikio makubwa sana.Marekani pia walikua wanahitaji short range missile defense kwa ajili ya Ku cover ground troops zinavyokuwa kwenye mission uko duniani.Iron dome ni very mobile na effective sana.Marekani wameona kuliko watumie hela kutengeneza missile defense mpya ni afadhali wanunue huo wa wayahudi.
Israel watauza vizuri tu tena kwa moyo mweupe sababu hata marekani wamewapa defense system kama Patriots na kuwasaidia kwenye utengenezaji wa defense system zao kama David sling na Arrow 3 pia.Issue hapa kwa Marekani ni kupunguza cost tu,hakuna kingine.
 
Well said. Thread closed.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom